Kifo cha Steven Kanumba Kimedororesha Tasnia ya Filamu Tanzania

Kifo cha Steven Kanumba Kimedororesha Tasnia ya Filamu Tanzania

come-on-me my dear!!! kwaniini humpendi huyu jamani?

mbona ni mpole hana hata element za uosama?

Pambaf! kumbe unaitaita uje ufanye ubazazi, ngoja nisepe, ebbos mi nimechangia mada umenichupa!
...
Iloooo Bazazi lione vile!
 
Mkuu mi naungana na Wewe kwa maelezo yako!

Lkn kabla ya yote tunapaswa kujiuliza Wamarekani walifanya nini mpk wakafanikiwa? Wahindi? Wa South Africa? Maana kwa mtazamo wangu kwa movie za SA ni Nzuri sn kuliko Nigeria kwa Africa! Sasa tunapaswa tuanzie chini kwanza! Ndio tuje huko mbele!

Alafu Wakuu Mimi nilitaka kujua undani Wa Hollywood, ni Kampuni ya mtu Au? Na Hiyo taasisi inafanya vp kazi Zake?

hollywood imekuwa its like an organization ambayo ndo inasimamia filamu za kimarekani kwa uchache ninachokijua hollwood ni kwamba kuna baadhi ya location za movie zonatengenezwa huko wanafanya shooting kulingana na mahitaji ya movie kwa mfano wanaweza wakatengeneza white house au ofisi za c.i.a n.k kwa structure zilezile za ukweli za ofisi husika na hata baadhi ya studio movie huwa zinafanyika huko hili limekaa kiteknolojia zaidi. So siwezi ilaumu bongo movie hapa
hollywood,bollywood na movie za kis.a nyingi zimekuwa supported na tech kuwa juu na uongozi mzuri wa taasisi zao za kusimamia movie,lakini kama tunavyojua bongo kila sehemu panapohitaji uongozi hutawaliwa na wivu,na maslahi binafsi thats y naendelea kusisitiza kwa sasa bongo movie ikitaka iendelee kwanza wajitahidi kuboresha filamu zao ubora huku wakiendelea kufuatilia hayo mambo mengine ya kuboresha mangement na kujifunza kutoka bollywood na hollywood huku wakiipressurize serikali iwaandalie mazingira mazuri ya mauzo ya kazi zao.
 
Kuna baadhi ya wasanii wanafanya poa sana, uwa napenda sana kufuatilia bongo movies especially upcoming , ila nimegundua vipaji vya kipekee kutoka kwa baadhi ya ma under ground. Kuna Dada mmoja anaitwa Neema ndepanya na mwenzie faudhia, wako vizuri sana n they are serious kwenye game, nimebahatika kuzicheki baadhi ya movie zao kama ANNE MARRIE na KICHUPA, guys wako serious sana , it seems wameisoma tasnia ya filamu na kugundua what is needed, safi sana..
 
Bado nalia na monalisa tu, sijui kakosa support au ndo uvivu wa kufikiri, kwa mademu I think she is the one ambaye angeweza ku introduce tasnia ya filamu kimataifa zaidi kama lupita nyong'o... the girl she is good when it comes kwenye kucheza na camera, na ndo maana marehemu alikuwa akimtumia kwenye kila movie za ki international, achilia mbali uelewa wa lugha ya kiingereza kwa ufasaha, ukongwe na umakini alionao vinaweza kumuweka sehemu takatifu kwenye tasnia ya filamu Africa
 
hollywood imekuwa its like an organization ambayo ndo inasimamia filamu za kimarekani kwa uchache ninachokijua hollwood ni kwamba kuna baadhi ya location za movie zonatengenezwa huko wanafanya shooting kulingana na mahitaji ya movie kwa mfano wanaweza wakatengeneza white house au ofisi za c.i.a n.k kwa structure zilezile za ukweli za ofisi husika na hata baadhi ya studio movie huwa zinafanyika huko hili limekaa kiteknolojia zaidi. So siwezi ilaumu bongo movie hapa
hollywood,bollywood na movie za kis.a nyingi zimekuwa supported na tech kuwa juu na uongozi mzuri wa taasisi zao za kusimamia movie,lakini kama tunavyojua bongo kila sehemu panapohitaji uongozi hutawaliwa na wivu,na maslahi binafsi thats y naendelea kusisitiza kwa sasa bongo movie ikitaka iendelee kwanza wajitahidi kuboresha filamu zao ubora huku wakiendelea kufuatilia hayo mambo mengine ya kuboresha mangement na kujifunza kutoka bollywood na hollywood huku wakiipressurize serikali iwaandalie mazingira mazuri ya mauzo ya kazi zao.

Kwanini Tz tusiwe na taasisi km Hiyo yenye kushughulikia kila kitu kiukamilifu km Hollywood ata km tusiwe na Technology Km ya Hollywood?

Maana mimi Nafikiri ni bora tuanze na taasisi Hiyo kulikoni kila msanii kujifanyia movie Zake anakojua Yeye bila ubora wowote! Tukianza huko then hayo mambo ya masoko, uwezo Wa wasanii, nani acheze na ni sehemu gani, locations zipi, vifaa vya kutumika, etc itakua rahisi kuvitekeleza!
 
Kuna huyu jamaa anaitwa JACKSON KIBIRIGI , jamaa na kampuni yake ya TIMAMU EFFECTS wako makini sana, nadhan leo ndo wanazindua movie yao mpya pale oyster bay inayojulikana kwa jina la MDUNDIKO, movie ambayo imepata tuzo uko nchini marekani..pia kuna movie nyingi zinazofanya vizuri nchi za nje na kupata tuzo za heshima ila izo movie hadi hazijatoka madukani, wakina MARIA SARUNGi watakuwa wanajua sababu, kuna watu wapo serious na wanafanya maajabu sema tu hawajulikan na movie zao hazitok sijui wanahofia kudhulumiwa au lah
 
RAY naye sijui ana utindio wa ubongo, jamaa ki ukweli movie zake story zinakuwa at least zinavutia ila anaboa habadiliki, si uigizaji sio script writer kila siku ally yakuti dah too much, halafu siku izi naona anapenda sana kuigizia kwenye hotel moja kule mbezi beach , movie ya tatu sasa amekazania tu hotel hyo, jamaa ana kampuni nzuri, vifaa vya kisasa na ni director mzuri kwa level zetu za kibongo ila sio muigizaji mzuri hata kwa kubahatisha..ila kwa kuchagua location za maana tu jamaa namkubali vibaya, maana kuna nyumba nyingine zipo maeneo nyeti na hadimu ila jamaa anaibuka, ila hata siku moja hajawahi kuzitumia hizo nyumba na watu wanaoendana na mazingira, kuishi maisha ya kitajiri sio lazima uwe mzuri Sanaa au uwe na kiburi, amuangalie Angela kwenye second chance hulka yake na maisha anayoishi, movie zake nyingi zinaonyesha kuwa watu utajiri wanazaliwa nao, yaan mwanzo mwisho watu matajiri wakat si kweli
 
Ni vigumu sana hadi Leo kunishawishi niamini ile tamthilia ya second chance ni maigizo na sio maisha halisi ya wale watu, kwa kuwa kila mtu kavaa uhusika vilivyo yaani hadi naogopa ki ukweli, sanaa ni tamu sana kama ikitumiwa ipasavyo
 
Vijana wana vipaji ila uduni wa elimu ndio unafanya tasnia hii idorore, sababu hakuna jipya wanalotuletea.
 
Kwanini Tz tusiwe na taasisi km Hiyo yenye kushughulikia kila kitu kiukamilifu km Hollywood ata km tusiwe na Technology Km ya Hollywood?

Maana mimi Nafikiri ni bora tuanze na taasisi Hiyo kulikoni kila msanii kujifanyia movie Zake anakojua Yeye bila ubora wowote! Tukianza huko then hayo mambo ya masoko, uwezo Wa wasanii, nani acheze na ni sehemu gani, locations zipi, vifaa vya kutumika, etc itakua rahisi kuvitekeleza!

kwa maana hiyo mkuu filamu za vikundi inabidi zife,lakini njaa pia ni tatizo kwa wasanii wetu,mtu anaona bora atengeneze movie walau apate laki 4 faida, maisha yaweze kwenda kuliko kukaa na kusubiri kutengeneza kitu bora,sina ujuzi sana kuhusu holywood walipoanzia mpk hapa walipo lakini hilo ni jukumu la bongo movie kukaa kusoma na kujifunza na pia kuaplly mambo ambayo yamewasaidia holywood na kuaply vitu hivyo hapa bongo ambavyo vinawezekanika lakini pointi ya msingi bongo movie inabidi watafute njia ya kuweza kupenyeza filamu zao hata nje ya nchi wasitegemee soko la tanzania tu.
 
Bora vikundi vife Mkuu Maana ndio vinaleta shida!
 
i wish atokee mtu awape bongo movie kama m 50 hivi alafu awaambie watengeneze movie classic nione wataleta visingizio gani..

mkuu hivi unadhani tatizo ni pesa?

i bet to differ...! wangapi wana pesa lakini wanajiuliza wazifanyie nini?

bongo movie imejaa wadau na wasanii ambao wana mawazo membamba mno! they dont sink and think!

waache tu wanyonywe kwa sababu na wao wananyonyana pia..
 
Back
Top Bottom