KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

Mungu hayupo achana na maandiko ya kitapeli ya quran ama biblia. Yale maandishi hayawezi kua yaliandikwa na anaeitwa mungu, labda kama aliandika akiwa amelewa.
Ulikua wapi kabla ya kuzaliwa ?
Unakumbukumbu ya tukio lolote kabla hujazaliwa?
Ulichagua wazazi wa kukuzaa?
 
ukweli mchungu ila tegemea povu, majibu ya kisirani toka kwa wana israel wa Mivumoni

nna rafiki kadhaa wa kigalatia, likija suala la harusi, natumiwa Proforma Invoice ya 70k na mimeseji kila kukicha
qmmmmmq
ilihali harusi za kikobazi nachangia 5k tu
Mungu hayupo achana na maandiko ya kitapeli ya quran ama biblia. Yale maandishi hayawezi kua yaliandikwa na anaeitwa mungu, labda kama aliandika akiwa amelewa.
Kwanini unapata nguvu ya kujadili kisichokuwepo ndugu? huwoni kama wewe ndio una shida kwa kujadili lisilo kuwepo?
 
Kabisa mkuu.

Hayo madoido na magharama anayozungumzia mtoa maada si matakwa ya ukristu - kwa kiasi kikubwa ni matakwa ya watu wenyewe. Ni wazi wana uhuru wa kufanya wapendayo, ila usisingiziwe ukristu kwamba unalazimisha.

Mapadre/wachungaji huhimiza hadi ndoa za mserereko (nyingi kwa pamoja, bila sherehe) katika kupunguza watu kuishi kizinifu wakiogopa gharama za harusi.

Waachwe wenye fedha wafanye ndoa za masherehe makubwa/ mazishi ya kifahari - shida ni wenye uchumi mdogo kuiga.
 
ukweli mchungu ila tegemea povu, majibu ya kisirani toka kwa wana israel wa Mivumoni

nna rafiki kadhaa wa kigalatia, likija suala la harusi, natumiwa Proforma Invoice ya 70k na mimeseji kila kukicha
qmmmmmq
ilihali harusi za kikobazi nachangia 5k tu
Haaaaah.... naDeclare interest... Mimi Muislam... imani yangu ni kwamba DINI zote.... Ukristo... Uislamu... n.k ni dini nyepesi isipokuwa shida ipo kwetu sisi wafuasi... ni Wagumu....
 
hahaahahhah!mm mkristo lkn hyo paragragph ya mwisho banaa!hahahahaha
 
Na haina mbwembwe wala complications za kuwatia wengine gharama zisizo na tija
 
Moja ya vitu ambavyo uislamu unataka vifanyike kwa haraka wakati ukifika ni ndoa na kuzika. Sababu kubwa ni kuepusha fitna ya dunia na maaswi
Ni mambo matatu, ikiwa ni pamoja na kuslim mkuu.
 
Kuntu
 
Kama tulivyomtesa JPM
  1. Dar
  2. Dodoma
  3. Zanzibar (na baadaye kuna kanda nyingine nayo iliomba aende huko serikali ika mute)
  4. Mwanza
  5. Chato
 
Yak 1:27 SUV​

Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Takbiiir
 
''Vijana wengi wa kikristo wameishia kuoa kinyemela ili kuepukana na hii adha , wengi wanaishi gheto na mabinti na maisha yanaenda hata hvyo viongozi wa dini huwachukulia kama waliolaaniwa''
Sina cha kuongeza hapa mkuu.
 
kwanza kabisa acha kupotosha wewe jamaa, misingi ya dini ya kikristo sio harusi!! bari ni kristo yesu ndio msingi wa dini. kutaja ndoa na harusi sio misingi.
 
Ayo yote uliyosema ni ukweli lakin hayahusiani na ukristu bali ni mila tu za watu walizoamua kuiga na kuziingiza kijanja kwenye ukristu.
Harusi na ndoa: ukisoma biblia vizur utagundua had mahari(kwa ndoa ya mkeka na isiyo ya mkeka) imetajwa ila kwakuwa binadamu(hasa waafrika) dini zilitukuta na mila zetu na bado tukaiga sifa za kupenda ndoa za kifahari ndio hapo michango ya lawama inapoanzia.

Mazishi: nalo ni hvyo hvyo ni kuchanganya din na tamaduni.

NB: asilimia kubwa ya wakristu wanafata sana amri za makanisa yao na sio yaliyoagizwa kwenye maandiko.
 
Haaaaah.... naDeclare interest... Mimi Muislam... imani yangu ni kwamba DINI zote.... Ukristo... Uislamu... n.k ni dini nyepesi isipokuwa shida ipo kwetu sisi wafuasi... ni Wagumu....
Uislamu ndio dini nyepesi kuliko zote, zilozabiki ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…