Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Iman nyingne ziliacha kipi?Uislam hakuna kitu ulikiacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iman nyingne ziliacha kipi?Uislam hakuna kitu ulikiacha
Posani utaratibu wa mila za kiafrika uliokuwepo kabla ata ya ujio wa hizi dini ila kwa utaratibu wa kibiblia ni huu👇👇 kwa condition kama yako
Kumbukumbu la Torati 22:28-29
²⁸ Mtu mume akimwona kijana aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye, wakaonekana;
²⁹ yule mtu mume aliyelala naye na ampe baba yake yule kijana shekeli hamsini za fedha, kisha na awe mkewe, kwa kuwa amemtweza; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
Sasa converte hiyo shekeli hamsin ni sh ngap sahv
Bas ndio mahari ya dem ambaye umeisha mla na watu wakajua kuwa mme(mna)kulana.Kama 36000 hv
Haiwez ingilia maana harusi ni sehemu ya moja wapo ya mila.ya kila kabila Africa mtoro baada ya kuoa ufanyiwa sherehe ya kuagwa kwao na kupewa ongera ya kuanzisha himaya(familia) yake.Serikali iingilie kati kwakweli!
Sherehe za ukumbini ni za kipagani hasa!
ukweli mchungu ila tegemea povu, majibu ya kisirani toka kwa wana israel wa Mivumoni
nna rafiki kadhaa wa kigalatia, likija suala la harusi, natumiwa Proforma Invoice ya 70k na mimeseji kila kukicha
qmmmmmq
ilihali harusi za kikobazi nachangia 5k tu
Wewe ni mshupavu(fanatic) wa dini.Mkuu hamia unapoona nafuu. Am proudly Christian yaani kila tunachokifanya naona fahari mno mno mnooooo.
ukweli mchungu ila tegemea povu, majibu ya kisirani toka kwa wana israel wa Mivumoni
nna rafiki kadhaa wa kigalatia, likija suala la harusi, natumiwa Proforma Invoice ya 70k na mimeseji kila kukicha
qmmmmmq
ilihali harusi za kikobazi nachangia 5k tu
Umeeleza kweli, lakini kwenye uislamu , kama ilivyo rahisi ndoa, ndivyo ikivyo rahisi talaka napia ndivyo olivyo rahisi kuongeza MkeNikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki , ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga ...
Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu wamekuwa waaminifu kuendana na dini Yao angalau Kwa 75% Ila Kwa wakristo kumekuwa na kata funua nyingi , hasa Kwa viongozi wa dini , utitiri wa madhehebu , na taasisi za kiupigaji japo Biblia haihalalishi kile wanachokifanya...ni madhehebu machache yanayoweza kuifuata biblia hata Kwa 50%
Kuna mambo mawili kwenye dini ya kikristo ni wrong copy, au yamechepushwa kimakusudi na genge la watu fulani , na karbia madhehebu yote ya kikristo yanaona huo ndo mfumo sahihi , hata hvyo kiukweli hata Biblia yenyewe haikubaliani nayo...!!!
Jambo la Kwanza ni mfumo wa Sherehe za harusi na Jambo la pili ni mfumo au taratibu za kuwahifadhi wapendwa wetu wanaopumzika (wafu) ....!!
Sina uzoefu na dini ya kiisilamu , hata hvyo kuishi kwangu Tanga Kwa mda fulan kulinipa uzoefu fulani, hvyo kama nitakosea au kwenda kinyume basi nakubali kusahihishwa ....!!
Ndoa za kiislamu Swala la Harusi sio first priority, wapo wachache wanaoweza kulipigia chapuo, hata hvyo waislamu wamekuwa waaminifu Kwa hili , michango ya Harusi isiyo na uhalisia na yenye kuumizana na kutupiana lawama Kwa waislamu hii ni asilimia kidog Sana ,ndoa za mikeka Kwa ubani wa 300 nimezishuhudia several times na familia zao zimekuwa zikienda viral [emoji4]
Cha msingi kuwe na kipunga na ngoma mbili tatu basi lyfe linaenda.
Kwa wakristo ndoa imegeuzwa kuwa mtaji , Kwa asilimia kubwa ndoa bila Harusi kubwa na vinono hyo ni kama haitambuliki , kumekuwa na masharti kibao kwenye kuchumbia , mlolongo mrefu usiokuwa na maana , tozo nyingi Kwa ajili ya mchungaji anayefungisha ndoa , na Gharama zikiongezeka mara dufu , michango ya Harusi , unywaji wa pombe uliokithiri na anasa za kila namna ukumbini ndo fashion now days , sherehe zikiisha usku wa manane na kutengeneza kichaka cha uzinzi na uasherati ....Nina uhakika Mungu hakubaliani na huu ujinga, thus why ndoa nyingi za kikristo zimekuwa zikiishia kwenye maumivu yasiyoelezeka....!!!
Vijana wengi wa kikristo wameishia kuoa kinyemela ili kuepukana na hii adha , wengi wanaishi gheto na mabinti na maisha yanaenda hata hvyo viongozi wa dini huwachukulia kama waliolaaniwa .
jambo la pili ni swala la kuwahifadhi ndugu wanaofariki, hapa pia ni vurugu tupu , Kwa waislamu msiba ni swala zito , na maiti inatakiwa ihifadhiwe kaburini haraka iwezekanavyo , nilishuhudia kwenye msiba wa mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa Nyerere kama sikosei , alifariki sa 12 jioni , kesho akazikwa mapema iwezekanavyo, Baba mzazi wa GSM alifariki usiku na Kesho yake akazikwa ..na watu wengine maarufu imekuwa ndo utaratibu...!!
Biblia pia inakubaliana na utaratibu huo , mara nyingi wafalme wa Isarel walipokuwa wanafariki Biblia ilisema sentensi moja tuu , akafariki akazikwa kwenye makaburi ya kifalme full stop , badae yanafanyika maombolezo mara nyingi ilikuwa sku 40...
Kifo cha kuhani mkuu Haruni na nabii Mussa kule jangwani pamoja naa mazishi yao kinaonyesha namna Mungu asivyokubaliana na kuchelewesha mazishi , Kifo cha Miriamu aliyekuwa mtu mkubwa Sana Kando ya Musa na Haruni biblia inatoa sentesi moja tuu , Miriamu akafa huko akazikwa huko , kuchelewesha mazishi kunaongeza machungu Kwa wanandugu na pia kushawishi Ibada za kishetani na matambiko , thus why Musa na Haruni walizikwa haraka iwezekanavyo tena chini ya Mwenyezi Mungu mwenyewe , na makaburi Yao yalifichwa ili kuepusha akili mbovu za binadamu kufanya yasiyompendeza Mungu....
Kwa wakristo wa sa hv Misiba ni mzigo mzito , maiti itazungushwa weee, kuanzia hospitali , kanisani , mara ukumbini , atasubiriwa sijui ndugu gani yupo ulaya , maiti atasafrishwa , kule akifikishwa na penyewe inaanzishwa Ibada fupi sjui , mpak anazikwa , basi ashasababisha taabu kuu , watu wamelia mpak machozi yamekauka , utapeli wa madaftari ya michango rambi rambi ushafanyika vya kutosha huku familia ikiachiwa mzigo mzito wa madeni ya Gharama za mazishi ..!!!
Huyu mwamba walimtesa sana. Mie sikupenda kabisa. Viongozi walifanya hivyo kwa manufaa yao binafsi. JPM alichukizwa sana na hicho kitendo.Kama tulivyomtesa JPM
- Dar
- Dodoma
- Zanzibar (na baadaye kuna kanda nyingine nayo iliomba aende huko serikali ika mute)
- Mwanza
- Chato
Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki , ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga ...

Wapi kazungumzia matendo ya kimasikini? Na wapi kazungumzia kama ana ukata?Kwa ufupi KINACHOKUSUMBUA NI NJAA TU siyo ukristo..TAFUTA HELA NDUGU YETU maisha ni gharama nakugharamikia ndo raha ya kuishi, ila awali ya yote anza kwanza na KUBADILI JINA uongeze spidi maana ni wazi Mr SLOW umevurugwa hadi unatamani viashiria vya matendo ya kimasikini vya jamii fulani iwe sheria ndani ya jamii fulani kisa ukata wako binafsi.
We Konda unaamini kweli jamaa alivyokuwa akipenda sifa vile alichukia kitendo cha kuonekana ni Man of the people au unatia doa bure legacy ya mwendakulima, maana kama angepewa fursa kidogo yakuwa hai wakati anaagwa lazima ange-reply;Huyu mwamba walimtesa sana. Mie sikupenda kabisa. Viongozi walifanya hivyo kwa manufaa yao binafsi. JPM alichukizwa sana na hicho kitendo.
Una ubongo hata hili ushindwe kweli kubaini? Hivi kwa kutumia akili ndogo tu lengo la mwenye uzi ni nini hasa anataka kifanyike? Na lengo la lawama zake nikufanikisha nini? Na akishamaliza hapo mada ijayo atafungua uzi kulalamikia mahari siyo lazima n.k unaisi watu wa namna hii kisaikolojia huwa wanasumbuliwa na nini?Wapi kazungumzia matendo ya kimasikini? Na wapi kazungumzia kama ana ukata?
Akili zako za usku , kama Una pesa weka mezaniKwa ufupi KINACHOKUSUMBUA NI NJAA TU siyo ukristo..TAFUTA HELA NDUGU YETU maisha ni gharama nakugharamikia ndo raha ya kuishi, ila awali ya yote anza kwanza na KUBADILI JINA uongeze spidi maana ni wazi Mr SLOW umevurugwa hadi unatamani viashiria vya matendo ya kimasikini vya jamii fulani iwe sheria ndani ya jamii fulani kisa ukata wako binafsi.
Zinafuata watu na si maagizo ya Allah,mfano wasabato wamekuwa brainwashed na Ellen G White,waluteri na martin luther king,waanglikana na ushoga ni damdam,wakatoliki na ulawiti na kuhukumu wasio wanajumuia,Uislam umenyooka hawana konakonaIman nyingne ziliacha kipi?
Wakristo kila ki2 kwenu pesaNikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki , ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga ...
Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu wamekuwa waaminifu kuendana na dini Yao angalau Kwa 75% Ila Kwa wakristo kumekuwa na kata funua nyingi , hasa Kwa viongozi wa dini , utitiri wa madhehebu , na taasisi za kiupigaji japo Biblia haihalalishi kile wanachokifanya...ni madhehebu machache yanayoweza kuifuata biblia hata Kwa 50%
Kuna mambo mawili kwenye dini ya kikristo ni wrong copy, au yamechepushwa kimakusudi na genge la watu fulani , na karbia madhehebu yote ya kikristo yanaona huo ndo mfumo sahihi , hata hvyo kiukweli hata Biblia yenyewe haikubaliani nayo...!!!
Jambo la Kwanza ni mfumo wa Sherehe za harusi na Jambo la pili ni mfumo au taratibu za kuwahifadhi wapendwa wetu wanaopumzika (wafu) ....!!
Sina uzoefu na dini ya kiisilamu , hata hvyo kuishi kwangu Tanga Kwa mda fulan kulinipa uzoefu fulani, hvyo kama nitakosea au kwenda kinyume basi nakubali kusahihishwa ....!!
Ndoa za kiislamu Swala la Harusi sio first priority, wapo wachache wanaoweza kulipigia chapuo, hata hvyo waislamu wamekuwa waaminifu Kwa hili , michango ya Harusi isiyo na uhalisia na yenye kuumizana na kutupiana lawama Kwa waislamu hii ni asilimia kidog Sana ,ndoa za mikeka Kwa ubani wa 300 nimezishuhudia several times na familia zao zimekuwa zikienda viral 😊
Cha msingi kuwe na kipunga na ngoma mbili tatu basi lyfe linaenda.
Kwa wakristo ndoa imegeuzwa kuwa mtaji , Kwa asilimia kubwa ndoa bila Harusi kubwa na vinono hyo ni kama haitambuliki , kumekuwa na masharti kibao kwenye kuchumbia , mlolongo mrefu usiokuwa na maana , tozo nyingi Kwa ajili ya mchungaji anayefungisha ndoa , na Gharama zikiongezeka mara dufu , michango ya Harusi , unywaji wa pombe uliokithiri na anasa za kila namna ukumbini ndo fashion now days , sherehe zikiisha usku wa manane na kutengeneza kichaka cha uzinzi na uasherati ....Nina uhakika Mungu hakubaliani na huu ujinga, thus why ndoa nyingi za kikristo zimekuwa zikiishia kwenye maumivu yasiyoelezeka....!!!
Vijana wengi wa kikristo wameishia kuoa kinyemela ili kuepukana na hii adha , wengi wanaishi gheto na mabinti na maisha yanaenda hata hvyo viongozi wa dini huwachukulia kama waliolaaniwa .
jambo la pili ni swala la kuwahifadhi ndugu wanaofariki, hapa pia ni vurugu tupu , Kwa waislamu msiba ni swala zito , na maiti inatakiwa ihifadhiwe kaburini haraka iwezekanavyo , nilishuhudia kwenye msiba wa mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa Nyerere kama sikosei , alifariki sa 12 jioni , kesho akazikwa mapema iwezekanavyo, Baba mzazi wa GSM alifariki usiku na Kesho yake akazikwa ..na watu wengine maarufu imekuwa ndo utaratibu...!!
Biblia pia inakubaliana na utaratibu huo , mara nyingi wafalme wa Isarel walipokuwa wanafariki Biblia ilisema sentensi moja tuu , akafariki akazikwa kwenye makaburi ya kifalme full stop , badae yanafanyika maombolezo mara nyingi ilikuwa sku 40...
Kifo cha kuhani mkuu Haruni na nabii Mussa kule jangwani pamoja naa mazishi yao kinaonyesha namna Mungu asivyokubaliana na kuchelewesha mazishi , Kifo cha Miriamu aliyekuwa mtu mkubwa Sana Kando ya Musa na Haruni biblia inatoa sentesi moja tuu , Miriamu akafa huko akazikwa huko , kuchelewesha mazishi kunaongeza machungu Kwa wanandugu na pia kushawishi Ibada za kishetani na matambiko , thus why Musa na Haruni walizikwa haraka iwezekanavyo tena chini ya Mwenyezi Mungu mwenyewe , na makaburi Yao yalifichwa ili kuepusha akili mbovu za binadamu kufanya yasiyompendeza Mungu....
Kwa wakristo wa sa hv Misiba ni mzigo mzito , maiti itazungushwa weee, kuanzia hospitali , kanisani , mara ukumbini , atasubiriwa sijui ndugu gani yupo ulaya , maiti atasafrishwa , kule akifikishwa na penyewe inaanzishwa Ibada fupi sjui , mpak anazikwa , basi ashasababisha taabu kuu , watu wamelia mpak machozi yamekauka , utapeli wa madaftari ya michango rambi rambi ushafanyika vya kutosha huku familia ikiachiwa mzigo mzito wa madeni ya Gharama za mazishi ..!!!
Unauwakika ayo mambo huko kwa waislam hayapo?Zinafuata watu na si maagizo ya Allah,mfano wasabato wamekuwa brainwashed na Ellen G White,waluteri na martin luther king,waanglikana na ushoga ni damdam,wakatoliki na ulawiti na kuhukumu wasio wanajumuia,Uislam umenyooka hawana konakona
Kiaje?Kama "Mkristo" maana yake ni kumfata Yesu Kristo basi hakuna shaka kuwa Muislam ndiye Mkristo wa kweli. Kama hujawa Muislam basi humfati Yesu Kristo.