KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

Mbona saizi Kuna promotion sana ya hii dini??Kuna nini kwani?? Kila mtu abaki na anavyoamini matendo ya wengine hayamaanishi dini mbaya, Kuna Kuna wanaua kutumia uislam huku wakimtaja huyo mtume kwahiyo tuseme dini ni ya wauaji Ili Hali Kuna wengine tunaishi nao vizuri tuu, mara tunaambiwa Ostadh kalawiti watoto 22 huko Kwahiyo tuseme dini ni ya walawiti Kwa sababu ya matendo ya Mmoja?? Ukisema dini inaruhusu kuoa wanawake wanne hiyo inatosha kusemaa mwanaume tamaa yake itaisha au hatatamani tena??? Au kwamba atakuwa mwaminifu??.. mbona hata hao wanawake wa kiislamu hawaikubali hiyo ndoa ya wanne ni vile tu mafundisho ya dini yamewabana.

Nadhani Imani ya mtu haiharibiwi Kwa sababu ya matendo ya mtu mwingine na ukiona hivyo basi huyo mtu ana imani haba
 
Sawa mkuu
 
Najazia, mimi ni mkristo, ninayoshuhudia makanisani siyo yale tuliyofundishwa kwenye maandiko, ninachokiona sasa ni bora mtu ujifungie kwenye chumba chenye utulivu na kumuomba Mungu wako, kisha ukawasaidie masikini, wajane, wagonjwa na yatima, Mungu wa mbinguni atakupa thawabu kuliko kwenda kushiriki biashara haramu ya kupora fedha za watu kwa kisingizio cha sadaka
  1. Kuna vitu viwili vinaitwa ubatizo na kipaimara, mawili haya yamekuwa biashara hivi sasa huko makanisani, Yesu kristo alibatiza bureeee!!! Lakini hivi sasa unajazishwa form kwaajili ya ubatizo au kipaimara, hizo fomu zinawekewa viwango vya pesa ya kulipa bila kujali ni mtu wa kipato cha chini au cha juu, usipoweza kulipa basi mtoto habatizwi na kijana hapewi kipaimara.
  2. Kwenye mazishi, kunatangazwa sadaka, mwisho wa siku sadaka ile inatajwa kuwa nauli ya kiongozi wa ibada ya mazishi, ni wizi mtupu.
Ukristo umekuwa biashara hivi sasa, wenye pesa ndiyo wanahudumiwa haraka zaidi kiroho kuliko masikini
Usome Uislam.
 
Back
Top Bottom