KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

Hizo hessabu za watu bilioni 6 wanaoamini unachokiamini ulifanya wapi?

China ina watu 1.4B, 99% hawaamini miungu wala mungu, India ina watu 1.38B, 90%+hawaamini hivyo vitabu vyenu, hapo ni almost 2.78B.

Hapo sijaongelea Japana na nchi nyingine za Mashariki ya Mbali.

Ukija kwetu hapa Afrika karibu nusu ya wanachi hawana dini ama wana dini za asili ambazo kimsingi haziongelei maisha baada ya kifo.

Kwa takwimu hizo chache maana yake zaidi ya nusu ya wakazi wa Dunia hii ya watu 7B Hawaamini mungu huyo unaemuamini wewe.

Sasa hao 6B unaowasema umewatoa wapi kama watu Duniani wako 7B.

Halafu ulivyo na akili ndogo, kwa kua watu wengi wanaamini jambo basi na wewe utaamini kwa sababu wengi wanaamini. Ndio maana tunasema waumini 99%+ hawana akili ya kuwaza wala kupambanua, ni fuata upepo tu kama wewe.

Ndio maana mnaitwa kondoo wa bwana, kweli ni mikondoo, mijitu mijinga isiyo na akili.
Kama awaamini kuhusu Mungu kwa nn kwa lugha zao neno Mungu lipo.
Mungu na Shetani ni roho na kama huna elimu kuhusu universe ulimwengu wa roho huwezi amini uwepo wa Mungu.
Elimu duniani ina sehemu mbili.
I.elimu kuhusu ulimwengu unaonekana na pili ni elimu kuhusu ulimwengu usioonekana.
Sasa kama huna elimu kuhusu Roho na ulimwengu usioonekana kwako ni SAwa kutoamini sababu upo gizani.
 
Ukweli ni kuwa Ukristo haufati mafundisho ya Yesu alayhi Salaam, unafata mafundisho ya kanisa, na kanisa, bila shaka yoyote linaendeshwa na mashoga, kwa ushahidi kamili.

Wakukushangaa ni wewe unaetetea viongozi wanaokuongoza imani yako kuwa ni mashoga. Au nawe ni shoga?
Nini maana ya kanisa.
Je huo ushoga ni mapatano yaliyo kwenye mafundisho ya Biblia?.
Au ni ukengeufu binafsi usiopata na Biblia.
Ni SAwa na mashehe wanaotumia Quran kufanya uchawi,uganga na ushirikina kwa jina la Mwenyezi Mungu huku wakipotosha watu eti kuna jini mzuri,majini wanaingia msikiti kuswali huu ni uongo na ni shirki kubwa Sana.
 
Kama awaamini kuhusu Mungu kwa nn kwa lugha zao neno Mungu lipo.
Mungu na Shetani ni roho na kama huna elimu kuhusu universe ulimwengu wa roho huwezi amini uwepo wa Mungu.
Elimu duniani ina sehemu mbili.
I.elimu kuhusu ulimwengu unaonekana na pili ni elimu kuhusu ulimwengu usioonekana.
Sasa kama huna elimu kuhusu Roho na ulimwengu usioonekana kwako ni SAwa kutoamini sababu upo gizani.
Wewe huna ambacho unakijua kuhusu mambo ya roho na imani ambacho mimi sikijui, huna cha kunifundisha kwa ufupi.
 
Kwa mujibu wa ufahamu wa kawaida.
1. Kuondokana na kushughulishwa na msiba kwa masiku mengi

2. Kiwiliwili hupumzika kwa amani na huondokana na mateso

3. Huepusha kutoharibika kwa kiwiliwili

4. Huokoa gharama

5. Hutunza muda

6. Huepusha fitna na hali zisizotarajiwa

7. Huhuisha shughuli nyingine za msingi zilizokuwa zimesimama

8. Kutoweka haraka kwa kumbukumbu za kufiwa na majonzi/maumivu

9. Husaidia kujikinga na magonjwa yaambukizayo kutoka kwa maiti
 
Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki , ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga ...

Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu wamekuwa waaminifu kuendana na dini Yao angalau Kwa 75% Ila Kwa wakristo kumekuwa na kata funua nyingi , hasa Kwa viongozi wa dini , utitiri wa madhehebu , na taasisi za kiupigaji japo Biblia haihalalishi kile wanachokifanya...ni madhehebu machache yanayoweza kuifuata biblia hata Kwa 50%

Kuna mambo mawili kwenye dini ya kikristo ni wrong copy, au yamechepushwa kimakusudi na genge la watu fulani , na karbia madhehebu yote ya kikristo yanaona huo ndo mfumo sahihi , hata hvyo kiukweli hata Biblia yenyewe haikubaliani nayo...!!!

Jambo la Kwanza ni mfumo wa Sherehe za harusi na Jambo la pili ni mfumo au taratibu za kuwahifadhi wapendwa wetu wanaopumzika (wafu) ....!!

Sina uzoefu na dini ya kiisilamu , hata hvyo kuishi kwangu Tanga Kwa mda fulan kulinipa uzoefu fulani, hvyo kama nitakosea au kwenda kinyume basi nakubali kusahihishwa ....!!

Ndoa za kiislamu Swala la Harusi sio first priority, wapo wachache wanaoweza kulipigia chapuo, hata hvyo waislamu wamekuwa waaminifu Kwa hili , michango ya Harusi isiyo na uhalisia na yenye kuumizana na kutupiana lawama Kwa waislamu hii ni asilimia kidog Sana ,ndoa za mikeka Kwa ubani wa 300 nimezishuhudia several times na familia zao zimekuwa zikienda viral [emoji4]
Cha msingi kuwe na kipunga na ngoma mbili tatu basi lyfe linaenda.

Kwa wakristo ndoa imegeuzwa kuwa mtaji , Kwa asilimia kubwa ndoa bila Harusi kubwa na vinono hyo ni kama haitambuliki , kumekuwa na masharti kibao kwenye kuchumbia , mlolongo mrefu usiokuwa na maana , tozo nyingi Kwa ajili ya mchungaji anayefungisha ndoa , na Gharama zikiongezeka mara dufu , michango ya Harusi , unywaji wa pombe uliokithiri na anasa za kila namna ukumbini ndo fashion now days , sherehe zikiisha usku wa manane na kutengeneza kichaka cha uzinzi na uasherati ....Nina uhakika Mungu hakubaliani na huu ujinga, thus why ndoa nyingi za kikristo zimekuwa zikiishia kwenye maumivu yasiyoelezeka....!!!

Vijana wengi wa kikristo wameishia kuoa kinyemela ili kuepukana na hii adha , wengi wanaishi gheto na mabinti na maisha yanaenda hata hvyo viongozi wa dini huwachukulia kama waliolaaniwa .

jambo la pili ni swala la kuwahifadhi ndugu wanaofariki, hapa pia ni vurugu tupu , Kwa waislamu msiba ni swala zito , na maiti inatakiwa ihifadhiwe kaburini haraka iwezekanavyo , nilishuhudia kwenye msiba wa mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa Nyerere kama sikosei , alifariki sa 12 jioni , kesho akazikwa mapema iwezekanavyo, Baba mzazi wa GSM alifariki usiku na Kesho yake akazikwa ..na watu wengine maarufu imekuwa ndo utaratibu...!!

Biblia pia inakubaliana na utaratibu huo , mara nyingi wafalme wa Isarel walipokuwa wanafariki Biblia ilisema sentensi moja tuu , akafariki akazikwa kwenye makaburi ya kifalme full stop , badae yanafanyika maombolezo mara nyingi ilikuwa sku 40...

Kifo cha kuhani mkuu Haruni na nabii Mussa kule jangwani pamoja naa mazishi yao kinaonyesha namna Mungu asivyokubaliana na kuchelewesha mazishi , Kifo cha Miriamu aliyekuwa mtu mkubwa Sana Kando ya Musa na Haruni biblia inatoa sentesi moja tuu , Miriamu akafa huko akazikwa huko , kuchelewesha mazishi kunaongeza machungu Kwa wanandugu na pia kushawishi Ibada za kishetani na matambiko , thus why Musa na Haruni walizikwa haraka iwezekanavyo tena chini ya Mwenyezi Mungu mwenyewe , na makaburi Yao yalifichwa ili kuepusha akili mbovu za binadamu kufanya yasiyompendeza Mungu....

Kwa wakristo wa sa hv Misiba ni mzigo mzito , maiti itazungushwa weee, kuanzia hospitali , kanisani , mara ukumbini , atasubiriwa sijui ndugu gani yupo ulaya , maiti atasafrishwa , kule akifikishwa na penyewe inaanzishwa Ibada fupi sjui , mpak anazikwa , basi ashasababisha taabu kuu , watu wamelia mpak machozi yamekauka , utapeli wa madaftari ya michango rambi rambi ushafanyika vya kutosha huku familia ikiachiwa mzigo mzito wa madeni ya Gharama za mazishi ..!!!
Umenena vema kabisa Mkuu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Waislamu wanazika watu wengi hai, mtu akifa angalau zipite siku tatu ndipo ithibitike kweli amekufa. Wengine uzimia zaidi ya masaa 24
Kwahyo huwa mnachelewa kuzika ili muipime maiti?.UNAFIKI
 
Mtoa mada nadhani unataka kutengeneza justification ya kuhamia huko kwingine unakokusifia.

Au inawezekana hujakaa vizuri katika ukristo.
Mimi ni Mkristo na ninafurahia kuwa hivyo. Nilibatizwa na kupata maulfunzo ya kipaimara. Nimebatiza watoto pia sijawahi lipishwa.
Nije kwenye mada yako sasa. Kifo na Ndoa ni ibada zilizochanganuliwa vyema sana kwa taratibu zake kwenye vitabu vyetu hasa sisi wa KKKT. NI ibada FUPI ajabu. Kuna ibada hadi ya send-off.

Kinachofuata baada ya hapo wala si maelekezo ya kanisa wala ukristo, ni matakwa na matamanio tu ya binadamu wenyewe.
Kamwe usihusishe kanisa au ukristo na matamanio ya kidunia ya watu wanaofakamia umagharibi.

Soma kwanza miongozo ya makanisa husika uone kama yametaja au yameelekeza kufanyika hayo unayosema humu.
Mambo ya merehemu kuwekwa siku nyiiingi kabla ya kuzikwa wala hakuna mahali yameandikwa katika ukristo ni watu tu wanayaendekeza hayo mambo.
 
Waislamu wanazika watu wengi hai, mtu akifa angalau zipite siku tatu ndipo ithibitike kweli amekufa. Wengine uzimia zaidi ya masaa 24
Hili si suala la waislamu tu mbona, JEWS nao huharakisha kuzika

Suala la kuhakiki kifo cha mtu huwa halifanyiki kiholela, hutafutwa wataalamu wakafanya vipimo wakishajiridhisha ndo hutoa ripoti

Wataalamu wanajua kutofautisha kati ya aliyezimia na aliyekufa, wanatambua uwepo wa watu wanaozimia kwa zaidi ya masaa 24
 
Hili si suala la waislamu tu mbona, JEWS nao huharakisha kuzika

Suala la kuhakiki kifo cha mtu huwa halifanyiki kiholela, hutafutwa wataalamu wakafanya vipimo wakishajiridhisha ndo hutoa ripoti

Wataalamu wanajua kutofautisha kati ya aliyezimia na aliyekufa, wanatambua uwepo wa watu wanaozimia kwa zaidi ya masaa 24
Itabidi wazikwe na simu sasa Ili wakifufuka kaburini wapige simu
 
Ulawiti,ushoga ni tabia ya mtu,hakuna maandiko yoyote kwenye vitabu vitakatifu vinafundishwa hayo mambo
Vinginevyo tukubaliane kuwa hakuna waislamu wanaotenda hayo mambo?
Kama wapo basi hao ni waislamu wa aina gani?
Hayo ni matendo binafsi ya mtu,hakuna dini iliyoridhia bayana kufanyika kwa hvyo vitendo ingawaje baadhi ya waumini wa hizi dini hutenda
 
Back
Top Bottom