KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

Mbona saizi Kuna promotion sana ya hii dini??Kuna nini kwani?? Kila mtu abaki na anavyoamini matendo ya wengine hayamaanishi dini mbaya, Kuna Kuna wanaua kutumia uislam huku wakimtaja huyo mtume kwahiyo tuseme dini ni ya wauaji Ili Hali Kuna wengine tunaishi nao vizuri tuu, mara tunaambiwa Ostadh kalawiti watoto 22 huko Kwahiyo tuseme dini ni ya walawiti Kwa sababu ya matendo ya Mmoja?? Ukisema dini inaruhusu kuoa wanawake wanne hiyo inatosha kusemaa mwanaume tamaa yake itaisha au hatatamani tena??? Au kwamba atakuwa mwaminifu??.. mbona hata hao wanawake wa kiislamu hawaikubali hiyo ndoa ya wanne ni vile tu mafundisho ya dini yamewabana.

Nadhani Imani ya mtu haiharibiwi Kwa sababu ya matendo ya mtu mwingine na ukiona hivyo basi huyo mtu ana imani haba
 
Sawa mkuu
 
Usome Uislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…