Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
KIFOMULA; ROHO YA MUNGU HUMSHUKIA MWANAUME WAKATI ROHO ZA KISHETANI HUMSHUKIA MWANAMKE.
Anaandika Robert Heriel.
Hatuandiki kumkashifu yeyote Ila tunaandika kufundisha na kuleta Uelewa wa mambo katika ulimwengu wa kiroho na elimu ya kimwili.
Katika Dunia hii zipo pande mbili zinazolingana. Juu na chini. Kushoto na kulia, Giza na Nuru, wema na ubaya, mwanaume na Mwanamke, Mtawala na mtawaliwa. Mungu na Shetani.
Pande hizo zinazokinzana zote zina kanuni zake na ni nadra Sana kutumia kanuni za upande mwingine.
Ni ngumu Sana Mungu kuongea moja Kwa moja na Mwanamke. Kama ilivyokuwa ngumu Kwa Shetani kuongea moja Kwa moja na Mwanaume.
Kama ingekuwa ni Kemia. Ni kwamba hakuna chemical Reaction baina ya Mungu na Mwanamke halikadhalika Shetani na Mwanaume.
Mungu au roho za Mungu huona kazi kubwa kumtumia Mwanamke katika shughuli za hapa na pale za kiutendaji. Kama ilivyo kaa Shetani au roho za kishetani huona kazi kubwa kumtumia mwanaume na hapa nazungumzia mwanaume kamili na halisi mwenye roho na tabia za kiume.
Shetani afikapo mahali popote pale hufikia Kwa mwanamke. Hata akiingia kwenye familia yoyote Ile basi hufikia Kwa mwanamke Kwanza ili atende kazi zake.
Mungu afikapo mahali popote hufikia Kwa mwanaume. Humuita mwanaume na ndio hufanya kazi zake.
Kimsingi, ili shughuli za Mungu zifanikiwe Kwa upesi basi mfumo utakaopaswa kutumiwa ni mfumo Dume kwani Mungu ndio mfumo wake.
Na ili shughuli za kishetani zifanikiwe Kwa upesi Sana basi yapaswa mwanamke atumike na mfumo jike utumike haraka.
Hii ni kusema, endapo dunia itafuata mifumo jike ni kwamba ufalme wa Mungu umeanguka na Shetani atakuwa yupo incharge.
Ndio maana kimsingi, ni kosa la jinai na kubwa Kuruhusu Mwanamke aongoze ibada za kiungu hasa Mungu Mkuu. Mwanamke kuongoza Ibada za kiroho kitafsiri ni kuwa ni agenda za kishetani zitapenyezwa na ushetani utakuwa dhahiri.
Au haya mwanaume akiongoza lakini akatumia mifumo ya Mfumo jike na kusikiliza sauti za kike ni kwamba Shetani ata-operate na mambo yataanza kwenda mrama.
Kifamilia, haipaswi Mwanamke awe kiongozi wa Familia. Mwanaume ndiye anayepaswa kuongoza familia.
Mwanamke kuongoza Familia ni laana. Na ni tafsiri kuwa familia hiyo ni base muhimu ya kishetani.
Sisemi Kama mtu nisiyefikiria umuhimu wa Wanawake, Hasha! Ila nazungumzia roles za msingi katika kanuni za ukinzani wa uwili.
Najaribu Kueleza Jambo hili ili wenye akili na maarifa wajue nini chakufanya.
Mwanaume kamili na halisi, mwenye roho ya Mungu, anayetumia mifumo ya Mungu Mkuu kamwe hawezi ongozwa ibada na Mwanamke kwani Kwa kufanya hivyo ni kukubali kuongozwa na Shetani na kutawaliwa na shetani hata Kama Mwanzoni ataona mambo ni mazuri lakini mwishoni lazima ubaya ujitokeze.
Wakati mwingine unaweza ukashangaa kuona Wanaume wazima wamesimamisha suruali zao wakiongozwa ibada na Mwanamke. Kwa kweli inahuzunisha
Ni Dalili ya kukosa akili na kutojitambua.
Mwanamke anaweza kuongoza wanawake wenzake, au kuongoza watoto wenye umri chini ya miaka 15 au ambao bado hawajaona manii/Shahawa zao.
Lakini mwanaume yeyote aliyeona Shahawa zake, mwenye uwezo wa kuzalisha hapaswi kuongozwa na Mwanamke katika mambo ya kiroho.
Mimi Taikon sisemi haya kuwaumiza au kuwadharau wanawake Ila naongea Jambo la kweli linaloigharimu Dunia.
Mungu hufikia Kwa wanaume na hutenda Kwa mfumo Dume. Shetani hufikia Kwa Wanawake na hutumia mfumo jike.
Sishangai dunia ya sasa ikikazania haki Sawa na kuondoa mfumo dume. Sababu ni kuwa Shetani haupendi mfumo dume Kwa sababu haumsapoti na unamchelewesha.
Nanipumzike sasa.
Ni Yule Mtibeli kutoka Nyota ya Tibeli.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam