The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Hongera kumbe wewe unakazwa na huo waya, [emoji23][emoji23][emoji23] katafte na nguzo ya Tanesco uweke [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kumbe wewe unakazwa na huo waya, [emoji23][emoji23][emoji23] katafte na nguzo ya Tanesco uweke [emoji23][emoji23][emoji23]
JF huwa inapenda sana kuacha mada za kutuzalilisha wanawake kuanzia matusi na kila kitu ndio furaha Yao hyo, Yani vile ni wanaume huwa ruksa kutukana wenginecariha achana na hawa malofa ..usipoteze muda kujibizana nao..kama anaweza kusapoti alichoandika huyu mjinga, kwa nini asikutane wewe kirahisi ....kuwa ana amani mamaa
Ukiwa huna uelewa wa kitu zuia vidole vyako visikuaibishe kama wewe ni mweupe kichwani kuhusu mambo ya imani uliza ueleweshwe sio kukurupuka na kuandika visivyoeleweka.Kwani Yusuph ndiye anabeba Mimba?
Alafu Mariam Hakuwa ameolewa hivyo Yusuph Hakuwa mume wake isipokuwa Mchumba tuu.
Mchumba kimsingi hatambuliki kwenye Ndoa, hata hivyo Malaika huyo huyo alimfuata Yusuph kumuomba kuwa asighairi mpango wake wa kumuoa Mariam kwani hakufanya umalaya isipokuwa mimba Ile ni nguvu ya kimungu.
Hoja yako ungesema mtoto aliyezaliwa angepaswa awe mwanamke huenda ingekuwa na nguvu. Maana mtoto ndio alishukiwa na roho wa MUNGU