Ukisoma alichokiandika mleta mada Kwa umakini na pasi mihemuko na Kwa akili tulivu ni dhahiri kuna Jambo la manufaa.
Hebu tujiulize kwanini wanawake ndo wanongoza Kwa kujidhalilisha hasa kingono kwenye mitandao,mfano wale wa chupa ya soda na beer.
Kwa nini wao ndo wanaongoza huko mitandaoni kujibinuabinua na kujirekodi picha za utupu.
Pia tuzingatie mwanamke,Kwa sisi wakristo aliumbwa baada ya mwanaume,hii ikiwa na maana kuwa mwanamke ni wa mwanaume na pasipo mwanaume hakuna mwanamke.....hii ni natural law.
Sasa laana inakuja pale mwanamke anapota taka kutumia nguvu kubwa kujiona yeye yu Sawa na mwanaume aliumbwa kabla yake.
Ukisoma maandiko baada ya Adam na Hawa kuasi utaona laana ya mwanamke kuzaa Kwa uchungu inatolewa lakini ina andikwa pia mwanamke hata Kwa kuzaa kwake Kwa uchungu bado atakuwa na hamu na muwewe,maana yake nini hii... mwanamke ni wa mwanaume haijalishi hali,sema tatizo la siku hizi wanawake wanaona wao ni Sawa na mwanaume.
NOTE: Katika uumbaji,alitangulia mwanaume hivyo pasipo mwanaume hakuna mwanamke.