Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

Yaaaan mwendazake aliwa fool wapumbavu na wajinga kwamba hakuna upigaji kumbe....kunaaa jamaa angu ni hawa wakula vitu aka unga..nmewahi kumuuliza mtapata wapi hiyooo ktu.. jamaaa alijibu hakunaaa kipindi unga unaingia kwa wingi kama zama hizi za mwendazake..

Ukiona wezi hawapo duniani ujue na shetani naye hayupo kabisa kabisa. Hao wataendelea kuwepo as long as shetani naye yupo. Kazi ya serikali ni kuendelea kuwasaka
 
Sasa Magufuli anahusikaje hapo. Hao si wezi Kama wezi wengine au kosa lake ni kule kupiga vita wizi kwa maslahi ya taifa. Lazima tukubali alijitahidi kwa uwezo wake ila haizuii ukweli kwamba kuna wachache walikuwepo bado ambao mmoja wapo ni hawa
Kosa lake kuzuia uhuru wa kutoa maoni na taarifa! Ukisema Nchi kuna wezi anakulisu kabla ya kuchunguza na kujua ukweli, aliisi watasema yeye ndio mwizi!
 
--->>>KWA UONI WANGU HAFIFU HAPA PANA MTU MZITO KWELI SEREKALINI,NI MIMI NIONAVYO KWA RAMLI YANGU.
 
Na ukitaka kujua huu ni mtandao mkubwa,hii issue nayo itapotea tu hewani na wala hatutajua mwisho wake,hiyo ndiyo imetoka ndukii!!
Tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu amlinde mkuu wa wilaya wasije wakamdhuru.
 
Yaaaan mwendazake aliwa fool wapumbavu na wajinga kwamba hakuna upigaji kumbe....kunaaa jamaa angu ni hawa wakula vitu aka unga..nmewahi kumuuliza mtapata wapi hiyooo ktu.. jamaaa alijibu hakunaaa kipindi unga unaingia kwa wingi kama zama hizi za mwendazake..
Kumbe unawajua wauza unga basi vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilikuwa kipindi kizuri Sana cha upigaji, no wapinzani, no waandishi no watu kufichua. Kulikuwa ni kuogopana kila mtu alikuwa TISS au ndugu wa mkulu..

Saizi upigaji utakuwa kidogo au kwa akili maana kufichuana kutakuwa waziwazi
bavicha bhana
 
Inaelekea jamaa alianza kufanya hivyo kitambo
Duh sahv picha limeungua

Ova
 
Utakuta architect wa hii biashara ni kigogo mmoja wa CCM ambae akiguswa nchi inatetemeka na mama Samoa anasema Waaah
 
Aliye teuliwa na nani?
Ndiyo maana Magu alifika kipindi mpaka akatamani angekua IGP, maana alikua anaona Kama IGP anapwaya,lakini Sasa atatumbuwa wangapi, maana angeendelea kutumbua mwisho wa siku angebaki pekee yake huko Serekalini, maana Watumishi wengi wanapenda upigaji kwenye sectors zao,na bila upigaji Watumishi watafanya kazi kwa kujivuta!!
 
Hii ndiyo maana halisi ya "Sekta Binafsi", wakati ukiwa huna uwezo wa kuendesha hiyo sekta kwa manufaa ya nchi.
 
Tatizo kubwa la mwendazake alikuwa anataka ale yeye tu ilhali wengine wanakufa na kwashakoo sasa kwa jinsi binadamu alivyo unapombana sana anatafuta njia mbadala ya kutokea, katika kipindi chake kulikua na chawa wake ambao uwepo wake ulikua unawanufaisha sana ndio maana hata walikua radhi kuua hata mtu aliyekua anampinga.

Ukweli ni kwamba aliharibu sana hili Taifa, Mungu wa mbinguni amesikia kilio cha watanzania akaamua kumchukua maana alikokua anaelekea kulikuwa siyoooo kabisaaaaa.
Haya uliyoandika yanahusiana pia na hii mada?
 
Sasa Magufuli anahusikaje hapo. Hao si wezi Kama wezi wengine au kosa lake ni kule kupiga vita wizi kwa maslahi ya taifa. Lazima tukubali alijitahidi kwa uwezo wake ila haizuii ukweli kwamba kuna wachache walikuwepo bado ambao mmoja wapo ni hawa
Ingekuwa wakati wake, huyo mama hapo, sijui Mkuu wa Wilaya asingeonekana popote.

Makamera na Mataa yangekuwa yanaelekezwa kwa mpenda sifa, na pangekuwepo na kelele nyingi sana kuhusu tukio hili.

Yaani ingekuwa ni kampeni kamili ya kutafuta sifa.
 
Back
Top Bottom