Kigogo, ni nani huyu aliyeuandama utawala wa awamu ya tano na sasa yuko kimya...

Kigogo-Kikwete
 
Kigogo-Kikwete
Huenda akawa mmoja wao tu...

Maana ukijiuliza taarifa za ikulu ambazo ni siri kuu alizipataje akiwa mwenyewe?

Naamini ulikua mtandao na walijiandaa mapema kabla Magufuli hajaingia ikulu...

Maana walimjua Magufuli hatabiriki, hivyo walijiandaa kukabiliana naye mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…