Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Kigogo ni mtu ya watu wa watatu. Yupo Tanzania wala hayupo nje ya nchi kama alivyo waaminisha.
 

Mbona mnapenda sana kukuuza watu.
 

😀Au Fulani***sijui mini😀halali anawaza soko siku haje hauze kama Jay-z😂😂😂 comred umenikumbuaha hili dude✊✊✊✊
 
Inabidi jeshi kitake control ya mambo mengi sana.. ikiwezekana Ikulu.. TISS kama inahitaji marekebisho flani vile.. au wapate mkuu wa idara mzawaaa haswaaa
KWANI aliyepo SI mzawa?
 
Kama aliye tunga stori ya tamthilia ya house of cards alipata lonja ya jinsi siasa zinavyoendeshwa basi uhalisia ni wanasiasa wanatumia sana watu kufanya mambo yao kwa maslahi yao,yaaani hawataki kuchafua mikono yao. Labda ni ishie hapo kwaio hata huyo unayemuhisi ni mwandishi wa account hiyo anaweza asiwe yeye mwenyewe boss bali anapewa info aaandike boss anachota huuu mchezo ni mgumu sana huwezi mpata maana boss ndiye yupo kwenye system
 
Si mpaka litolewe? Au una maana yeye ni cfd pia?
Hakuna siri anazotoa,siku akitoa siri ndiyo utafahamu kama wanaweza au hawawezi.PESA ILIMNUNUA SADAM NA OSAMA haiwezi shindwa kumnunua kigogo,tena atauzwa na mtu wake wa karibu.
 
Yule abaki na anawatukana wakina nikki wa pili ila huku maji ya shingo, mi nikimdaka nayonga hapo hapo sitaki zawadi ya serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…