Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Inasemekana kuna usalama wa Taifa walitofautiana maslahi ya kiutawala na kiongozi Fulani Ikulu ndo kukawa na mgawanyiko.Hii ni taasisi kama M 23,Al Shabab na ina watu ndani ya sirikali na wengine ni wafadhili wa USA
Tumekusikia.
 
Magufuli kaondoka na Kigogo2014 wake. Tangu rais mpya aingie, jamaa hazipati taarifa za nini kinaendelea. Alimganda hasa Magufuli sio Hassan.
 
Mimi nampenda Kigogo but we will miss him now Magufuli is gone...

Cha kuongezea,the first person anaye report topics za kigogo humu ni yeye mwenyewe Kigogo,lol...kila saa ana update topics zake,haiwezekani mtu mmoja,akawa present at time1,time2 and time3 when kigogo is posting,so the person who brings his topics early in JamiiForums must be him.. LOL
 
Chid benz wa zaman alikuwa chid haswaaa
 


Aliyekuwa anampa Umaarufu Kigogo ni JPM, Kwa sasa Umaarufu wake umedorora
 


Tabia haipo Static boss, Tabia ni Dynamic. Hivyo unaweza Kanata mtu asiyehusika
 
Inawezekana Mambo ya kigogo safi kwa sasa!ile mirija ya ulaji imezibuliwa haswaa!!ndio maana lugha yake sio kali kwa Jumong!!!!!SIO KWAMBA HANA ACCESS NA IKULU NA NYETI ZAKE!!!
 
Kigogo sasa hivi wanakula nchi, kigogo ni kikundi cha watu, awamu hii sasa mirija imefunguka wapo busy kupiga pesa. Ukiangalia hata wale jamaa walokuwa wanatajwa ndio kigogo system wenyewe wameacha mipasho Twitter wapo wanatafuna nchi.
Kaka february, mbunge wa ulezi, vasco da gama na nwanae wakeacha majungu wanapiga business tu. More money mkre money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…