Kigogo yuko ndan ya hii hii nchi na ni mtu mkubwa tu serekalin pengne bado yuko kwenye system au hata kama alishatoka bas anaijua serekal vzuri sana had ikulu anaijua nje ndani na masuala ya din pengine ni muislam lakn anatumia mbinu ya kujidao mkristo ili kumvuruga adui anae muwinda, anaweza kujidai yuko nje ya nchi lakn zot ni mbinu tu ile accnt iko actve sawa na masaa yetu huku EA, na Mara chache sana ndo inakua actve had night hizo pengne ni mbinu zake tu za kumvuruga adui, na hata kma yuko nje ya nchi lakn bado kuna mtu wake ambae ndo mtoa taarifa na yuko ndan ya serekal had Sasa.