Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Kigogo anaonekana ni introvert. Siyo mtu mwenye kundi kubwa la watu.

Kina Chahali, Goodluck haule wite inaonekana huwa wanamfuta inbox kumpelekeza.

Wote kawachana na haelewani nao.
Kigogo yupo smart ni jeshi la mtu mmoja ,halafu hauwezi kumuingia kirahisi rahisi yaani kigogo ni dakika mbili zipo mbele dakika sifuri anakuparua hata kama alikuwa msela wako twita.
 
Wana IT wote tuna kikao whatsapp ila kuingia kwenye kikao hakikisha una code maalmu ya kuingia
 
Sentensi yako ni tata kijana. Ina maana zaidi ya moja.

Alafu kuna kundi la mazezeta unalolitembelea kila siku una uhusiano gani nalo?
Ukijiona unagombana na kila mtu jua wewe ni zero kabisa na unatatizo
 
Kigogo yuko ndan ya hii hii nchi na ni mtu mkubwa tu serekalin pengne bado yuko kwenye system au hata kama alishatoka bas anaijua serekal vzuri sana had ikulu anaijua nje ndani na masuala ya din pengine ni muislam lakn anatumia mbinu ya kujidao mkristo ili kumvuruga adui anae muwinda, anaweza kujidai yuko nje ya nchi lakn zot ni mbinu tu ile accnt iko actve sawa na masaa yetu huku EA, na Mara chache sana ndo inakua actve had night hizo pengne ni mbinu zake tu za kumvuruga adui, na hata kma yuko nje ya nchi lakn bado kuna mtu wake ambae ndo mtoa taarifa na yuko ndan ya serekal had Sasa.
Kabisa kigogo ni Muislamu anawapoteza maboya kwa kujiita shemasi na kusema anaingia kanisani.
 
Mpiga ramli tu ww mtu humjui unasema anakipara nenda kwa watoto wenzio FB
 
Taarabu nyingi mara miaka 39-49, mara ananyoa kipara, mara et ama saut nyepesi ila sio nzito!!!

Hivi fasihi inakuwa nyepesi kiasi hiki hata mtoto wa kidato cha pili anaielewa[emoji3], Sasa umeshindwa nini kutaja jina as long as umetaja tabia halisi za uliyemficha??

Anyway wewe ni tai..... Ni tai..... ??
Jamaa bwana nimemshangaa Sana in short anamgusa February ila huko kwengine kajifanya kuzunguka tu ili ahamishe magori
 
Serikali haipo serious kabisa.
Kigogo si wakuwahangaisha kama wapo serious
Mkuu, mi nafikiri kunasehemu ya serikali inayomuhitaji ili kupata taarifa ambazo zinapita nyuma yao. Ile serikali inayosimamia haki haina shida naye ila ile inayofanya mambo ya ubadhirifu ndo inashida naye maana anawaharibia ulaji.
 
Kigogo kama hakuwagi kuwa TISS bhasi amini OSAMA hakuwahi kuwa CIA..!! Its impossible yani miaka bukuu mtu wa kawaida kufanya anayofanya kigogo...Never yani

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, mi nafikiri kunasehemu ya serikali inayomuhitaji ili kupata taarifa ambazo zinapita nyuma yao. Ile serikali inayosimamia haki haina shida naye ila ile inayofanya mambo ya ubadhirifu ndo inashida naye maana anawaharibia ulaji.
Ngoja wataftane wao ndani yao
 
Back
Top Bottom