Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Kigoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 8 ambayo ni

Buyungu -

Muhambwe:

Kasulu Mjini:

Kasulu Vijijini:

Manyovu -

Kigoma Mjini -

Kigoma Kaskazini -

Kigoma Kusini/Uvinza -

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
Zitto ameshindwa kigoma mjini
 
Naomba utokee msiba mkubwa tuanze kuhesabu moja.
 
ACT wamepata kata 2 pekee. Rusimbi na Buhanda.. Zitto kapigwa chini..na BABA LEVO Kapoteza kata ya Mwanga Kaskazin. Baba levo kaniuma sana.. ndo alikuwa Diwani wangu
Matumaini madogo niliyobakia nayo yanaanza kupotea, hakika demokrasia imebakwa.
 
mimi mwenyewa pamoja na kuwa CCM ila baba levo kaniuma saana

hii imefanya niwe na ualakini wa .....
ACT wamepata kata 2 pekee. Rusimbi na Buhanda.. Zitto kapigwa chini..na BABA LEVO Kapoteza kata ya Mwanga Kaskazin. Baba levo kaniuma sana.. ndo alikuwa Diwani wangu
 
Back
Top Bottom