Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

ACT wamepata kata 2 pekee. Rusimbi na Buhanda.. Zitto kapigwa chini..na BABA LEVO Kapoteza kata ya Mwanga Kaskazin. Baba levo kaniuma sana.. ndo alikuwa Diwani wangu
Duh! Hii mambo hii, is like a drama like a video.
Siyo kigoma tu Bali Muhimili wa Bunge ume poteza vichwa haswa.
 
Back
Top Bottom