Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Matusi hayabadirishi matokeo, pole kwa kuchagua fungu la kushindwa. Hiyo ni moja ya yamkini, ndiyo maana chama kiliweka wagombea majimbo yote, kama wananchi wameamua hivyo, unafanyaje? Hapa ni kupokea na kuheshimu matokea tu!
Sio wananchi walioamua, sema kama tume na serikali imeamua hivyo. Maana inakuaje kuna karatasi fake za kupigia kura, ikiwa karatasi za kupigia kura, znaandaliwa na tume, basi hizi fake kaziandaa nani? Na zikiwa zna watermark ya tume. Tumia busara yako fikilia mno tena mno
 
Wapinzani ni wazushi, ninamashaka na hilo wamelizusha tu kama wanavyofanya uzushi mwingine! No tangible evidence.
 
Huyo MPUUZI hajui chochote Mkuu ,Zitto ameshinda kigoma mjini na hivi sasa mji mzima ni shangwe tu.
Azam tv wameandia zitto ashindwa.....
20201029_174403.jpg
 
Back
Top Bottom