Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Zitto ameshindwa kigoma mjini
 
Naomba utokee msiba mkubwa tuanze kuhesabu moja.
 
ACT wamepata kata 2 pekee. Rusimbi na Buhanda.. Zitto kapigwa chini..na BABA LEVO Kapoteza kata ya Mwanga Kaskazin. Baba levo kaniuma sana.. ndo alikuwa Diwani wangu
Matumaini madogo niliyobakia nayo yanaanza kupotea, hakika demokrasia imebakwa.
 
mimi mwenyewa pamoja na kuwa CCM ila baba levo kaniuma saana

hii imefanya niwe na ualakini wa .....
ACT wamepata kata 2 pekee. Rusimbi na Buhanda.. Zitto kapigwa chini..na BABA LEVO Kapoteza kata ya Mwanga Kaskazin. Baba levo kaniuma sana.. ndo alikuwa Diwani wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…