Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Wakurugenzi wote nchi nzima iwe Ni ama zao ama zetu
Ndivyo inavyotakiwa mkuu Hawa nikudeal nao wao, ili walioteuliwa hizo nafasi wawe wanajua kabisa wasipondenda haki nini kitawakuta.
 
Matusi hayabadirishi matokeo, pole kwa kuchagua fungu la kushindwa. Hiyo ni moja ya yamkini, ndiyo maana chama kiliweka wagombea majimbo yote, kama wananchi wameamua hivyo, unafanyaje? Hapa ni kupokea na kuheshimu matokea tu!
Sio wananchi walioamua, sema kama tume na serikali imeamua hivyo. Maana inakuaje kuna karatasi fake za kupigia kura, ikiwa karatasi za kupigia kura, znaandaliwa na tume, basi hizi fake kaziandaa nani? Na zikiwa zna watermark ya tume. Tumia busara yako fikilia mno tena mno
 
Fanyeni huo uhuni au unadhani odinga atakuja kuwafanyia?
Kama wapinzani wanahitaji kuisogeza hii nchi mbele nakuiondoa mikononi mwa ccm basi hio ndio dawa, tofauti nahapo hawawezi kuiondoa ccm madarakani maana ccm sio chama cha siasa.
 
Wapinzani ni wazushi, ninamashaka na hilo wamelizusha tu kama wanavyofanya uzushi mwingine! No tangible evidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…