B Bbg New Member Joined Oct 29, 2020 Posts 2 Reaction score 1 Oct 29, 2020 #81 swahiba92 said: ACT wamepata kata 2 pekee. Rusimbi na Buhanda.. Zitto kapigwa chini..na BABA LEVO Kapoteza kata ya Mwanga Kaskazin. Baba levo kaniuma sana.. ndo alikuwa Diwani wangu Click to expand... Duh! Hii mambo hii, is like a drama like a video. Siyo kigoma tu Bali Muhimili wa Bunge ume poteza vichwa haswa.
swahiba92 said: ACT wamepata kata 2 pekee. Rusimbi na Buhanda.. Zitto kapigwa chini..na BABA LEVO Kapoteza kata ya Mwanga Kaskazin. Baba levo kaniuma sana.. ndo alikuwa Diwani wangu Click to expand... Duh! Hii mambo hii, is like a drama like a video. Siyo kigoma tu Bali Muhimili wa Bunge ume poteza vichwa haswa.
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,404 Reaction score 10,900 Oct 29, 2020 #82 Amandus Amandus said: Nachokiona nguvu ya wapinzani ilikuwa kwa Lowasa.Lilikuwa kosa kubwa kumruhusu Lowasa aende! Click to expand... Jidanganye,nguvu ya Upinzani ilitokana na Kikwete kuruhusu wapinzani kufanya Siasa
Amandus Amandus said: Nachokiona nguvu ya wapinzani ilikuwa kwa Lowasa.Lilikuwa kosa kubwa kumruhusu Lowasa aende! Click to expand... Jidanganye,nguvu ya Upinzani ilitokana na Kikwete kuruhusu wapinzani kufanya Siasa