Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Ooooh sjui sisi tuko kimataifa league ya Ndani sio level yatu.
.
Wakàti unakutana na team imepanda league msimu huu unasawazisha Kwa taaabu [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Jana kaleta million 500, hivyo ameingiza faida ya million 100! Unaumwa si bure
 
Nasubilia Nyuzi za Kubwa la Mapopoma Gety aje na Nyuzi ZaKe
 
😂😂😂😂😂😂😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

#KihasibuIendelee
 
Hasara inapungua au inaendelea ? naomba wataalamu wa economics na accountancy wanisaidie #KihasibuImekaaje
 
Kihasibu sijui. Ila kibiashara ni biashara ambayo umewekeza pesa mingi lkn return yake inatumia mda mrefu kurudi kiasi kwamba mpaka hioni kama inakulipa. Mf umewekeza ml 100 ila kwa mwaka unapata faida afu3.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kihasibu sijui. Ila kibiashara ni biashara ambayo umewekeza pesa mingi lkn return yake inatumia mda mrefu kurudi kiasi kwamba mpaka hioni kama inakulipa. Mf umewekeza ml 100 ila kwa mwaka unapata faida afu3.
ROI haiendani na uhalisia wa ulichowekeza
 
Anachodeliver mpaka sasa ukilinganisha na gharama za kumleta,bado hazi reflect uhalisia wa gharama iliyotumika.
Hata msimu mmoja haujaisha umesha-conclude ni mchezaj mbaya, Tanzania ni moja ya nchi ya ajabu sana ndo maana hata kwa watoto wetu ni ngumu kufanya vizuri kwenye mambo mengi sababu kabla hawajaanza safari wanakatishwa tamaa vibaya mno
 
Kihasibu sijui. Ila kibiashara ni biashara ambayo umewekeza pesa mingi lkn return yake inatumia mda mrefu kurudi kiasi kwamba mpaka hioni kama inakulipa. Mf umewekeza ml 100 ila kwa mwaka unapata faida afu3.
Hitimisho kamili utapata baada ya kutumikia angalau miziki miwili.
 
Hata msimu mmoja haujaisha umesha-conclude ni mchezaj mbaya, Tanzania ni moja ya nchi ya ajabu sana ndo maana hata kwa watoto wetu ni ngumu kufanya vizuri kwenye mambo mengi sababu kabla hawajaanza safari wanakatishwa tamaa vibaya mno
Soma kwanza hii sentensi yangu kama sehemu ya comment uliyoniquote "Anachodeliver mpaka sasa......." Ungeielewa usingekuja na hiyo comment yako.Mbona kiswahili ni lugha inayoeleweka vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…