Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kwahio tumehamia kwa Sopu sio Azizi K? u Mbumbumbu ni genetic

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Bado tupo kwa Azizi Ki huyo huyo, huyo Sopu ni reference tu kuonesha kama unamuona Aziz Ki ni bora kwasbabu alimfunga Manula goli tatu kwenye mechi zaidi ya mbili

Unapaswa ukumbuke kuwa Sopu alifunga hizo goli 3 ndani ya mechi moja, je Sopu ni bora zaidi kuliko Azizi Ki?

Jibu ni ndiyo
 
Mleta mada anameza mate ya uchungu huko aliko

Sasa anamsimfia SAIDOO NTIBAZOKIZA ambaye alikuwa akimponda mda wote kipind Cha nyuma na reference ninazo ukibisha sema nizishushe nimepitia thread mbalimbali za miaka 2 nyuma nimescreen shot
 
Walimu wako walikua na shida sana kukueleweasha

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
hivi watara okra wapo??
wale walikuja kama free agent vile au ndo loss juu ya loss!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…