Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Tanzania kuna ujinga,yani umteue mtu mwenye elimu ya kuunga unga na ambaye hajawahi kuwa Mwalimu kuwa Waziri wa Elimu,huo siutakuwa ujinga grade 4
 
Umewasagia kunguni meku ,wachaga siku hizi hatutaki pesa tena tunataka tu mbege hatuna shida tupewe kitengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…