Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Ingawa mimi pia natoka kule ila Basil alizidi. Toka akiwa Mkuu wa Mkoa Mbeya. Alikuwa anafanya vikao mkakati na watu wa kule, kupeana kazi, hususani za barabara, na ajira. Tunajua kukumbukana.
 
Hahahaha Tayana tulia, kaombee mapepo.

Soma 'INAWEZEKANA'

Kuna doubt. Ila ile ya January na Nnauye alikuwa direct. Watatenguliwa.

Mvaa bendera kwa huyo mama, ni roho yake ya pili.
🤣🤣Siombei mapepo bwana
Naombea watu mapepo yawatoke.

Sawa ngoja tuone

Naona acc ya kigogo insta umerudi Kwa kasi
 
🤣🤣Siombei mapepo bwana
Naombea watu mapepo yawatoke.

Sawa ngoja tuone

Naona acc ya kigogo insta umerudi Kwa kasi
Fanya uje kuniombea 🤣🤣🤣

Huyo dogo haachwi. Akiachika nidai 100k. Ila usiende kukesha litokee, ili uje kunidai 🤣🤣🤣🤣. Maana hushindwi.

Sijaingia huko kuona X
 
Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??


Ni swali tu
Atakuwa maeharibu,,mkenda amuache hapohapo.Jamaa watajana BOT na TRA wakasikazini tupu kwani effect ya enzi za mramba na wengineo Bado Iko Hadi sasa
 
Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??


Ni swali tu
Mwigulu ni mwizi na mhujumu uchumi ila anajua kula na mamlaka za utenguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…