Kiingereza cha hakimu wa Sugu chazua gumzo twitter Kenya

Slavery mentality ndiyo inawasumbua Waafrika. Wachina, Warusi na Wakorea hawababaiki na hiyo lugha ya kitumwa ndiyo maana wanashindana na hao waongea kiingereza na wanahaha sana. Waafrika mpaka tujitambue ndiyo tutapata maendeleo. Sasa lugha hiyo ya kitumwa ndiyo imekuwa issue ya kuongelewa kiasi hicho....!! Ingekuwa Wachina hata habari wasingekuwa nayo!
 
Main political leader of a county [emoji23][emoji23]
 
ila Mteite kiboko. eti the country currency must lose it is value.😀 wakuu hivi sustainability of the president ndiyo inakuwaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Shame to him,,hata yule kimada wake atamkimbia,yule karani wa Mahakama kuu pale mbeya
 
Hahahaha imebidi tu nicheke japo tunasemwa sie Watanzania

Wakenya bana sasa mlitaka Hakimu wetu apige majagon ya Lumumba ?? Kama ndio hivyo hiyo hukumu ingetoka baada ya miaka kumi kutoka sasa
Usitetee ujinga. Ona aibu. Huyu hakimu anahakisi quality ya sasa ya taaluma ya TZ. Very sad. Hata ukiacha lugha mbali hukumu yenyewe ni ya maoni/hisia zake na siyo sheria. Natabiri kuwa Sugu na mwenzie watashinda rufaa.
 
Ahhajahaj
Hapana aiseee nakata rufaaa sio kwa haya ninayo yaona hapa
 
Kama ni ya kitumwa si muiache? Mmelazimishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…