Slavery mentality ndiyo inawasumbua Waafrika. Wachina, Warusi na Wakorea hawababaiki na hiyo lugha ya kitumwa ndiyo maana wanashindana na hao waongea kiingereza na wanahaha sana. Waafrika mpaka tujitambue ndiyo tutapata maendeleo. Sasa lugha hiyo ya kitumwa ndiyo imekuwa issue ya kuongelewa kiasi hicho....!! Ingekuwa Wachina hata habari wasingekuwa nayo!