Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,019
Kingwangala ela yote ameimalizia kuzunguka kutafuta wadhamini wa Urais,,Jimbo lake la Nzega Bashe atalichukua kiulaini teh teh teh
ha ha ha ,tuliwambia,sasa mwaka huu kampeni mtafanya kwa baiskeli kama ndo kweli zimefutwa.
na mkizengua zaidi hata kidogo kilichobaki mtalipwa baada ya mwaka huu,serikali haina hela za kuchezea....
Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.
Miafrika bana.
Kubadilika kupo ata akina mzee butiku waalibadilika toka mbili hadi tatu
Jamani wabunge wa sisiemu, kichwani mwao nadhani kuna upepo!
Mkuu UKAWA wakiambiwa kwamba hakuna kiinua mgongo hadi wahudhurie ufungaji Bunge, watajitokeza fasta!Wafute kwa UKAWA ili iwape credit
mmmm inaweza kuwa kwelu asubuhi nilimsikia kigwa akimwambia zungu kwamba kuna minogono ndani ya bunge
Kingwangala ela yote ameimalizia kuzunguka kutafuta wadhamini wa Urais,,Jimbo lake la Nzega Bashe atalichukua kiulaini teh teh teh
Kwa wananchi kicheko....kwa wanaomalizia ungwe ya kuitwa waheshimiwa kilio...hapo prezida kacheza kama pere....
Hawana ubavu Wa kuwanyima posho iko kisheria wataitolea mahakamani
Ndio maana Kigwangala aliomba muongozo kuhusu minong'ono bila kutaja minong'ono inahusu nini na bila shaka aliona aibu hata kutamka.
Mibunge ya CCM iko after money na maslahi yao tu!