Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Kwa UKAWA ni sawa hawana shida nayo kwani walidiliki kulataa pia posha ya laki tati kwa siku kwenye katiba ya sitta na chenge
 
nakwambia sasa ,,, hayo tumeyaweka ,, ila itakuwa kwa maneno na si kwa vitendo ,, kamwe,, tumefanya hivyo kupunguza jaziba za wananchi, wafanyakazi n.k, ila mwisho mpunga uko palepale… wabishi endeleeni kubisha… .full stop
Kuna ukweli kwenye post yako, serikali ya ccm sijawai kuiamini hasa kupitia huyu msanii JK.!
 
Nina wasiwasi wabunge wa UKAWA ndio watakao katwa ila wa CCM watapewa yote.!

Ndani serikali ya JK lolote linawezakana.
 
Ungekuwa karibu wewe ningekula tigo! Kama hujui au huna hakika jifunze kuuliza! Natilia shaka hata elimu yako!!
Elimu yangu, hata ukiunga unga vielimu vyote vya ukoo wako hata robo hamfikii. Kwahilo ondoa shaka,jadili mada iliyopo mbele yako.
 
Hapo ccm ndiyo matumbo joto lakini ukawa hatuna shida mwendo uleule .kwani miaka yote walimu wamevumilia mangapi hadi leo .waache tu kwani tumekufa wakati tume hiyo haipo.ukawa mwendo uleule hakuna kulegeza. Mambo yote ni ukawa tu.
 
Kilichokuwa kiinua Mgongo cha wabunge kimeota mbawa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa wabunge wa UKAWA kususia Bunge.

Jambo ambalo limefanya kiinua mgongo kufutwa kwa wabunge wa UKAWA, na hii imetokana na kuongezeka kwa Hasira za kumsusia Rais Bunge hapo kesho wakati Spika ametengua tayari adhabu.

Source: Wabunge wa CCM

Muulize mbunge wako

==========

Itakuwa move ya kupangwa? ili ku deflect hasira za wana nchi dhidi ya ccm, baada ya "ccm" kupitia spika kuwafukuza ukawa. Ccm haijawahi kuwa na nia njema kwa taifa kwani hata hizo 130 m, bado ni nyingi kulipwa kwa kipindi cha miaka mi 5 tu. Wanatakiwa wajiunge kwenye mifuko ya hifadhi za jamii ili twende sawa???
 
huwa siamini habari za serikali yetu maana ni za kizushi sometimes.

nakumbuka magumashi ya kwenye bunge la katiba mpaka leo hakuna anayejua wale wabunge walilipwa kiasi gani.
 
Yaani pamoja na wabunge wa Sisiemu kufanya kazi ya 'kutukuka' kwa kupitisha kwa asilimia 100 muswada ulioletwa kwa hati ya dharura wa gesi na mafuta, bado serikali imeamua kuwapiga 'teke' katika kutekeleza kwa vitendo kile kitu kinachoitwa shukurani ya punda ni mateke katika yale mafao yao, ambapo kila Mheshimiwa Mbunge alitarajia 'kulamba' shilingi milioni 230?

Ndipo hapo wabunge wa CCM wajifunze na koona faida ya kuusaliti Umma wa watanzania na kuwakumbatia wawekezaji wa nchi za nje pamoja na 'wapambe' wao hapa nchini, ambao ni watawala.

Mystery;
Mbona unauonea muda?? Muda haurudi nyuma tena. Tizama haya maneno yako; Ndipo hapo wabunge wa CCM wajifunze na koona faida ya kuusaliti Umma wa watanzania na kuwakumbatia wawekezaji wa nchi za nje pamoja na 'wapambe' wao hapa nchini, ambao ni watawala.
Hawa wabunge watajifunzia wapi tena nao wote hao sasa wapo mitaani kuanzia kesho? Ni wale vichaa tu wanaoweza kuzidi kuwafutusha matumbo yao. Waliingia bungeni kina kibajaji wakiwa wamekondeanaaa, lakini baada ya kutoa mijitusi ya kuogofisha wazee, ona walivyo takatika. Sidhani ka anatumia tena mbuni kuogea yule. Alitegemea kujirusha na mamilioni sasa yamekatwa over 50%, jamani, huruma za ccm ni zipi hapooo. Naunga mkono hoja ya kumgomea M/kiti kesho. Akamhutubie bi Kiroboto na Ndungai wake. Sisi tupo mitaaniiii
 
Back
Top Bottom