Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

Katenda kosa tarehe 26/nov Leo tarehe 4/12 na hukumu tayari imeshatoka!!! Pongezi kubwa kwa Mahakama kwa kuendesha kesi ushaidi kukamilika na kutoa hukumu ndani ya wiki moja toka mshtakiwa kutenda kosa.Mahakama nyingine nchini kote ziige mfano huu maana kuna ndg, rafiki, jamaa zetu wengi sana wapo mahabusu bila kujua hatma ya mashtaka yao.
Hakimu alimtia hatiani mshtakiwa kwa kigezo kuwa alikiri kosa lake, mshtakiwa akikiri kosa anaweza hukumiwa hata Siku ya kwanza kuletwa mahakamani. Lakini ukiangalia kwa undani kesi hii, inaonekana mshtakiwa alikiri with condition kwamba hakumaanisha kuwa atamuua, hivyo basi hiyo condition ina maanisha hakukiri kosa la kutishia kuua, akipata wakili mzuri anaweza achiwa na kesi kuanza upya huku upande wa mashtaka ukitakiwa kuthibitisha mashtaka ya kutishia kuua.
 
Ni kweli angekataa, watu wanakamatwa na viungo vya albino wanakataa na mwisho wana shinda kesi, huyo kijana alidhani tuko Uingereza au Marekani hapa, kuna siku moja nilisikiza habari kutoka BBC nikasikia wakisema kuna jamaa mmoja mjini Miami alihukumiwa kwenda jela kwa kosa alilokuwa amefanya, sasa jamaa kwa sababu alikuwa mnene sana akamwambia Hakimu "mimi siwezi kwenda kukaa Jela na mwili wangu huu" hapo hapo Hakimu akabadilisha hukumu akampa karipio/Onyo
 
Alirekodiwa? Atakuwa amekosa msimamizi tu wa kisheria sidhani kama angefungwa,pia mahakimu kutoa hizi hukumu kuwezi na busara na hekima maana zingine ni frustulation za maisha tu mpaka mtu anaropoka,angepewa viboko na kufanya kazi za kijamii hata miezi 6 angejifunza (mawazo yangu tu hata sheria sijui ni wale tulioishia la 4 C)
 
Ni bora utishie kumuua Mungu utapona, lakini usijaribu kutishia kumuua John, hata ukiota ndoto tu kuwa John amekufa kaa kimya kabisa wakikusikia kuwa umeota ndoto Kama hiyo ujuwe utaishia gereza la Kisongo, Kama kuna mtu anabisha akamuulize Lema
Omba Toba kwa MUNGU.....
 
Hata kama kuna uhuru hii si sawa kutishia kumuua mtu YEYOTE yule si sahihi hata kidogo. Sijui hata kama huko majuu wanafanya haya
Ni kweli haitakiwi kutishia kuua. Ila mizaha ipo na watu huwa wanaropoka kwa mzaha, huyu alitakiwa akafanye usafi stand hapo mwezi mzima asubuhi na jioni badala ya kumfunga miezi yote hiyo.
 
Kwanini umetumia picha ya Rais wa TZ yenye nembo ya Kenya?
 
Ni heri umtishie Mungu Jehovah uko salama kabisa maana anajua ni utani na katu utoweza, kuliko kumtishia mkoloni hata ndotoni tujua utoliona.
Hakimu anastahiri apewe ujaji kwa kutenda haki
 
Ni kosa kisheria jamani, hata wewe ukitishwa kuuawa nenda kashtaki.Mimi nimewahi kumshtaki mtu kwa kunitamkia kwamba ataniua ila badae nikamuonea huruma sikwenda mahakamani mpaka kesi ikafutwa. Pamoja na hayo Rais ni nembo ya Taifa unatishia vipi kumuua hata kama unatania.

Tuache ushabiki wa kijinga.
Baba yako katishiwa kuuawa na mvuta bangi mmoja hivi mtaan kwenu

Imekaaje hiyo, mkuu
Utakenua meno tuuuu

Wakat mwenyekiti wa chama cha demokrasia kbx hatak kusikia mtu anakitaman kiti chake
Vp uhai wake ukitishiwa???
 
Katenda kosa tarehe 26/nov Leo tarehe 4/12 na hukumu tayari imeshatoka!!! Pongezi kubwa kwa Mahakama kwa kuendesha kesi ushaidi kukamilika na kutoa hukumu ndani ya wiki moja toka mshtakiwa kutenda kosa.Mahakama nyingine nchini kote ziige mfano huu maana kuna ndg, rafiki, jamaa zetu wengi sana wapo mahabusu bila kujua hatma ya mashtaka yao.
Ukikili hakuna longo longo ya upelelezi wala mashidi,unakula mvua hapo hapo
 
vous143, Ulichoandika hakiendani na alichosema uliye mquote,futa comment yako mkuu,ni aibu
 
Mshtakiwa anadaiwa kuropoka maneno hayo Novemba 26, mwaka huu, huku siku ya pili yake (Novemba 27) Rais Magufuli na msafara wake ukipita mkoani Singida kwa njia ya barabara kwenda Chato.

Kesi zote zingekuwa zinahukumiwa haraka namna hii ingewapunguzia sana raia usumbufu, sijui nani alikuwa tayari kusema upelelezi haujakamilika kwenye sakata hili
 
Back
Top Bottom