Hongera mama.My role modelKweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.
Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
😂😂😂😂, Ubaya Ubwelaa. Tuzo lazima itoke hahaha. Safi sanaAhsante Sana uko sahihi kabisa. Ila tutaitoa tu.
Ahsante kwa kuguswa, uwe na usiku mwema na Baraka.Hongera mama.My role model
Hakika hakuna namna 😘😂😂😂😂, Ubaya Ubwelaa. Tuzo lazima itoke hahaha. Safi sana
Ameeen.Leo nitalala vizuri nimetakiwa usiku mwema na waziri wangu mnyenyekevu.Uwe na usiku mwema piaAhsante kwa kuguswa, uwe na usiku mwema na Baraka.
Dr mimi binafsi napitia changamoto kubwa zaidi ya kunyimwa unyumba na my wangu Kwa miezi 10 sasa, na sijawahi kuchepuka🙃 je natengenezewa tuzo gn ndugu mh???Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.
Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Ripoti kwanza ustawi wa jamii kwa ushauri tafadhaliDr mimi binafsi napitia changamoto kubwa zaidi ya kunyimwa unyumba na my wangu Kwa miezi 10 sasa, na sijawahi kuchepuka🙃 je natengenezewa tuzo gn ndugu mh???
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Ameeen.Leo nitalala vizuri nimetakiwa usiku mwema na waziri wangu mnyenyekevu.Uwe na usiku mwema pia
Wamo wa wili watatu wenye uafadhaliKumbe kuna mda ccm mnakuaga na akili.
Mama unaakili sana..Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.
Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Afande waziri Dkt. Gwajima D Gwajima Mimi pia nastahili tuzo nina mengi niliyotendwa na wanawake alafu nimepuuzia naogopa kuyasema hapa maana watanicheka rafiki zangu ,tafadhali nikupate vipi nikusimulie ili uone wanawake wengine walivyo wabaya ?Wakosoe tu kwa kuwa hata mimi yao ambayo ningeweza kuyakosoa nayaona ila nayaacha tu kwa kuwa duniani humu malaika hayupo. Hivyo, vema kushika lako moja la heri ulifanye, kikubwa wapo wanaobarikiwa Nalo. Hakuna aliyekuja kwa mwili wa nyama akaibariki Dunia yote.
unajua sababu ya kupewa tuzo?Waziri halina hekima, limejiingiza kwenye ma social drama yanayo trendi mitandaoni.
Hajui kuna upande wa pili unaopaswa kuheshimiwa kwa saab serikali haipaswi kuchagua upande kwenye mambo ya ndoa za watu.
Mtu amekuja ugenini kalewa, kwenye shughuli ya wazazi kuaga binti yao, haheshimu mtu, anakuja chakari kufanya vituko.
Hiyo ni red flag, warning sign, kwamba huyu mtu ni addict! Kwa nini ujiingize kwenye li ndoa la kubebana na lilevi ? Lilipopewa media time lijieleze likasema lenyewe liko vizuri kifesha, halivai nguo za mtumba, kwa saab kazi yake hakosi elfu 10 kwa siku. Kwa hiyo on top of kuwa mlevi he is also a meat head.
Unampaje tuzo mtu kama huyo ?
Hakika nakupongeza sana mama yangu Kwa mengi unayofanya kwenye wizara Yako.Kupongeza kwa hata hatua moja ni thawabu ni mbegu ya mabadiliko. Makubwa zaidi watafanya wengine kwa wakati na nyakati za Mungu. Tusiwe wazito kupongeza.
Hujambo? Sasa tunapopambana na ukatili Sababu ya watu wanaoshindwa kudhibiti hasira sijawahi hata kukusikia. Leo mtu mmoja amezishinda hasira, hajafanya ukatili, katuachia amani, tunataka tumpongeze, napo unapinga.Waziri halina hekima, limejiingiza kwenye ma social drama yanayo trendi mitandaoni.
Hajui kuna upande wa pili unaopaswa kuheshimiwa kwa saab serikali haipaswi kuchagua upande kwenye mambo ya ndoa za watu.
Mtu amekuja ugenini kalewa, kwenye shughuli ya wazazi kuaga binti yao, haheshimu mtu, anakuja chakari kufanya vituko.
Hiyo ni red flag, warning sign, kwamba huyu mtu ni hopeless addict! Kwa nini ujiingize kwenye li ndoa la kubebana na lilevi ? Lilipopewa media time lijieleze likasema lenyewe liko vizuri kifesha, halivai nguo za mtumba, kwa saab kazi yake hakosi elfu 10 kwa siku. Yani laki 3 monthly. Kwa hiyo on top of kuwa mlevi he is also a meat head.
Unampaje tuzo mtu kama huyo ?
Pole Sana na hongera Sana kwa hekima, PM au sms 0765345777Afande waziri Dkt. Gwajima D Gwajima Mimi pia nastahili tuzo nina mengi niliyotendwa na wanawake alafu nimepuuzia naogopa kuyasema hapa maana watanicheka rafiki zangu ,tafadhali nikupate vipi nikusimulie ili uone wanawake wengine walivyo wabaya ?
Mambo ya kijinga ndio Yana tuzo,by the way huo ni muendelezo wa dharau tuu.Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri