Waziri halina hekima, limejiingiza kwenye ma social drama yanayo trendi mitandaoni.
Hajui kuna upande wa pili unaopaswa kuheshimiwa kwa saab serikali haipaswi kuchagua upande kwenye mambo ya ndoa za watu.
Mtu amekuja ugenini kalewa, kwenye shughuli ya wazazi kuaga binti yao, haheshimu mtu, anakuja chakari kufanya vituko.
Hiyo ni red flag, warning sign, kwamba huyu mtu ni hopeless addict! Kwa nini ujiingize kwenye li ndoa la kubebana na lilevi ? Lilipopewa media time lijieleze likasema lenyewe liko vizuri kifesha, halivai nguo za mtumba, kwa saab kazi yake hakosi elfu 10 kwa siku. Yani laki 3 monthly. Kwa hiyo on top of kuwa mlevi he is also a meat head.
Unampaje tuzo mtu kama huyo ?