Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.

Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Hongera mama.My role model
 
Dr mimi binafsi napitia changamoto kubwa zaidi ya kunyimwa unyumba na my wangu Kwa miezi 10 sasa, na sijawahi kuchepuka🙃 je natengenezewa tuzo gn ndugu mh???
 
Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.

Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Mama unaakili sana..
Mungu akubariki na kila kheri kwenye majukumu yako.

Sisi wanajme tunapitia mengi sana.
 
Wakosoe tu kwa kuwa hata mimi yao ambayo ningeweza kuyakosoa nayaona ila nayaacha tu kwa kuwa duniani humu malaika hayupo. Hivyo, vema kushika lako moja la heri ulifanye, kikubwa wapo wanaobarikiwa Nalo. Hakuna aliyekuja kwa mwili wa nyama akaibariki Dunia yote.
Afande waziri Dkt. Gwajima D Gwajima Mimi pia nastahili tuzo nina mengi niliyotendwa na wanawake alafu nimepuuzia naogopa kuyasema hapa maana watanicheka rafiki zangu ,tafadhali nikupate vipi nikusimulie ili uone wanawake wengine walivyo wabaya ?
 
Waziri halina hekima, limejiingiza kwenye ma social drama yanayo trendi mitandaoni.

Hajui kuna upande wa pili unaopaswa kuheshimiwa kwa saab serikali haipaswi kuchagua upande kwenye mambo ya ndoa za watu.

Mtu amekuja ugenini kalewa, kwenye shughuli ya wazazi kuaga binti yao, haheshimu mtu, anakuja chakari kufanya vituko.

Hiyo ni red flag, warning sign, kwamba huyu mtu ni hopeless addict! Kwa nini ujiingize kwenye li ndoa la kubebana na lilevi ? Lilipopewa media time lijieleze likasema lenyewe liko vizuri kifesha, halivai nguo za mtumba, kwa saab kazi yake hakosi elfu 10 kwa siku. Yani laki 3 monthly. Kwa hiyo on top of kuwa mlevi he is also a meat head.

Unampaje tuzo mtu kama huyo ?
 
Hiyo ni red flag, warning sign, kwamba huyu mtu ni addict! Kwa nini ujiingize kwenye li ndoa la kubebana na lilevi ? Lilipopewa media time lijieleze likasema lenyewe liko vizuri kifesha, halivai nguo za mtumba, kwa saab kazi yake hakosi elfu 10 kwa siku. Kwa hiyo on top of kuwa mlevi he is also a meat head.

Unampaje tuzo mtu kama huyo ?
unajua sababu ya kupewa tuzo?
 
Kupongeza kwa hata hatua moja ni thawabu ni mbegu ya mabadiliko. Makubwa zaidi watafanya wengine kwa wakati na nyakati za Mungu. Tusiwe wazito kupongeza.
Hakika nakupongeza sana mama yangu Kwa mengi unayofanya kwenye wizara Yako.

Laiti tungekuwa na mawaziri 6 kama wewe bandari na mbuga zetu zingekuwa salama salimini🙏
 
Waziri halina hekima, limejiingiza kwenye ma social drama yanayo trendi mitandaoni.

Hajui kuna upande wa pili unaopaswa kuheshimiwa kwa saab serikali haipaswi kuchagua upande kwenye mambo ya ndoa za watu.

Mtu amekuja ugenini kalewa, kwenye shughuli ya wazazi kuaga binti yao, haheshimu mtu, anakuja chakari kufanya vituko.

Hiyo ni red flag, warning sign, kwamba huyu mtu ni hopeless addict! Kwa nini ujiingize kwenye li ndoa la kubebana na lilevi ? Lilipopewa media time lijieleze likasema lenyewe liko vizuri kifesha, halivai nguo za mtumba, kwa saab kazi yake hakosi elfu 10 kwa siku. Yani laki 3 monthly. Kwa hiyo on top of kuwa mlevi he is also a meat head.

Unampaje tuzo mtu kama huyo ?
Hujambo? Sasa tunapopambana na ukatili Sababu ya watu wanaoshindwa kudhibiti hasira sijawahi hata kukusikia. Leo mtu mmoja amezishinda hasira, hajafanya ukatili, katuachia amani, tunataka tumpongeze, napo unapinga.

Kwa kuwa hata kwenye mapambano ya kudhibiti na kutokomeza ukatili sijawahi kukusikia, nadhani maoni yako nayo nimeyasoma halafu siyatekelezi, tuzo tutampa tu Ili wengine waone kuwa, inawezekana kudhibiti hasira na kutofanya ukatili wa kijinsia.

Kumbe wewe wasema ni mlevi na alilewa? Halafu akaishinda hasira? Na walevi wengi hushindwa na hasira na kufanya ukatili? Basi kumbe huyu ni Shujaa zaidi, anastahili PONGEZI zaidi.

Haya asubuhi njema na heri kwako.
 
Afande waziri Dkt. Gwajima D Gwajima Mimi pia nastahili tuzo nina mengi niliyotendwa na wanawake alafu nimepuuzia naogopa kuyasema hapa maana watanicheka rafiki zangu ,tafadhali nikupate vipi nikusimulie ili uone wanawake wengine walivyo wabaya ?
Pole Sana na hongera Sana kwa hekima, PM au sms 0765345777
 
Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.

Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima

Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto

Hongera sana kwako mheshimiwa waziri
Mambo ya kijinga ndio Yana tuzo,by the way huo ni muendelezo wa dharau tuu.
 
Back
Top Bottom