Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Ni hivi, hata wewe na wenzako kadhaa mkimkuta jambazi anaiba, badala ya kujichukulia sheria mkononi na kumuua ingawa mnazo silaha, wewe na wenzako mkaamua kumfikisha Polisi salama, hakika tutakupongeza tu kwa kudhibiti hasira kaliJuzi tu mke wangu kanifata nikiwa chakari nimeshindwa kuendesha gari ikabidi nimpigie aje nilipo. Hoja hapa si matumizi ya pombe, hoja ni Tuzo baada ya matumizi ya pombe sehemu isiyo sahihi.
Nikuulize, hapo wizarani kijana aje kwenye mkutano maalumu na mh Raisi wa Jamhuri ya muungano akiwa amelewa raisi akamfukuza kazi utampa tuzo sababu hakuchana mafile wakati anaondoka?
Sendoff ni tukio la wazazi kumkabidhi binti kwa mume. Kwa wazazi si mapenzi yale ni tukio muhimu linalohusisha rasilimali watu na fedha ndo maana kuna mavazi rasmi. Mapenzi ni kwenye honeymoon huko.Huu mfano wa swali lako mbona umetoka nnje ya mada mkuu..
Usichanganye kazi na mapenzi
Mungu awabariki. Bahati mbaya ni kuwa, Hawa wanaopinga hapa, kwenye mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia hata hawaji, sauti zao hazisikiki, na hata hawajui kuwa, ukatili wa kijinsia sehemu kubwa ni wali kwenye mahusiano kushindwa kudhibiti hisia za hasira. Watuache tu wapambanaji tunajua kitovu cha adui kuwa ni jazba na hasira.Tunakupenda waziri wetu
Wazalendo hatupingi kila kitu
Hii ni sawa. Tumefanya jambo zuri, kujichukulia sheria mkononi ni jinai.Ni hivi, hata wewe na wenzako kadhaa mkimkuta jambazi anaiba, badala ya kujichukulia sheria mkononi na kumuua ingawa mnazo silaha, wewe na wenzako mkaamua kumfikisha Polisi salama, hakika tutakupongeza tu kwa kudhibiti hasira kali
Jamaa apewe tu tuzo yake kwakweli, inaonekana watu wake wa karibu wanaomzunguka Wana utulivu sana kwenye kufanya maamuzi.Sendoff ni tukio la wazazi kumkabidhi binti kwa mume. Kwa wazazi si mapenzi yale ni tukio muhimu linalohusisha rasilimali watu na fedha ndo maana kuna mavazi rasmi. Mapenzi ni kwenye honeymoon huko.
Hapana siyo hivyo, unalinganisha vitu viwili tofauti. Huu ni ukatili wa kijinsia ambapo, kichocheo kikubwa ni watu 2 kukosa utulivu. Na ukumbuke walikuwa kwenye sherehe na hizo pombe ilikuwa bajeti yao wote hao. Na harusi ni kunywa na Kula. Na wakipeana ahadi ya kuwa wanandoa walijuana. .Hii ni sawa. Tumefanya jambo zuri, kujichukulia sheria mkononi ni jinai.
Ila, Kama huyu aliachwa sababu kalewa na akapewa tuzo sababu hakufanya fujo, kwanini madereva walevi wasipewe tuzo wakifikisha magari salama wakiwa wamelewa?
Anyway, binafsi naona kutoa tuzo katika mazingira yake ni kuwaambia wazazi serikali inasimama na walevi wasio na mipaka.
Ma mimi mahitaji tuzoYule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri
Safi sana Mkuu,wewe ni kati ya watu wachache sana walioelewa huu uzi kwa kuangalia na upande wa pili,Hakuna mzazi atavumilia hiyo dharau. Unamkabidhi binti kwa mlevi? Serious? Kalewa chakari? Hata kuheshimu tu hiyo siku moja muhimu imeshindikana? Kama ni wazazi wameshinikiza Walikuwa sahihi kabisa. Kama wanapendana sana wakafunge ndoa bila hizi taratibu za sendoff.
IRrellevant,mwamba kapewa tuxo kwa kuweza kuhimili mihemko na hasira za ghafla.mimi ningekuwa jelaJuzi tu mke wangu kanifata nikiwa chakari nimeshindwa kuendesha gari ikabidi nimpigie aje nilipo. Hoja hapa si matumizi ya pombe, hoja ni Tuzo baada ya matumizi ya pombe sehemu isiyo sahihi.
Nikuulize, hapo wizarani kijana aje kwenye mkutano maalumu na mh Raisi wa Jamhuri ya muungano akiwa amelewa raisi akamfukuza kazi utampa tuzo sababu hakuchana mafile wakati anaondoka?
Safi sana Mkuu,wewe ni kati ya watu wachache sana walioelewa huu uzi kwa kuangalia na upande wa pili,
Hakuna mzazi anayejielewa atakubali mume mtarajiwa kuja kwenye send off kalewa chakari,hiyo ni dharau kubwa san
😀😀😀 Haya kwa stori ipi ya kishujaa uliyonayo? Sana umenipa wazo kuwa, kumbe tunahitaji search ya mashujaa wa kudhibiti jazba Ili event ya tuzo zetu ipendeze na kuhamasisha kuwa, maisha bila jazba inawezakanaMa mimi mahitaji tuzo
Itengwe bajeti na hili jambo liwe endelevu kwa mashujaa wengi😀😀😀 Haya kwa stori ipi ya kishujaa uliyonayo? Sana umenipa wazo kuwa, kumbe tunahitaji search ya mashujaa wa kudhibiti jazba Ili event ya tuzo zetu ipendeze na kuhamasisha kuwa, maisha bila jazba inawezakana
Wewe ni mtu mkweli kwenye hoja. Nawe ni Shujaa wa ukweli.IRrellevant,mwamba kapewa tuxo kwa kuweza kuhimili mihemko na hasira za ghafla.mimi ningekuwa jela
Hao watu wake wa karibu na huyo mlevi,wote ndio wale wale tu,wangekua na busara wasingemuacha ndugu yao akalewa chakari siku muhimu kama hiyo,walipatwa na aibu ya ndugu yao kwenda kalewa chakari ndio maana wakawa wapole.Jamaa apewe tu tuzo yake kwakweli, inaonekana watu wake wa karibu wanaomzunguka Wana utulivu sana kwenye kufanya maamuzi.
Hiyo pombe anaweza akawa alikunywa kiasi kidogo tu kwa lengo la kuchangamka lakini bahati mbaya ikamzidia..
Hakutakiwa kupewa hukumu hiyo labda kama Kuna jambo jingine halisemwi
Hahaha, sio kwamba alimshukuru baba mkwe kwa kumpa chombo japo yeye ana sura ngumu?Jamaa apewe tu tuzo yake kwakweli, inaonekana watu wake wa karibu wanaomzunguka Wana utulivu sana kwenye kufanya maamuzi.
Hiyo pombe anaweza akawa alikunywa kiasi kidogo tu kwa lengo la kuchangamka lakini bahati mbaya imamzidia..
Hakutakiwa kupewa huku hiyo labda kama Kuna jambo jingine halisemwi
Ukijadiliana na nyapara madhara ya ndoa.IRrellevant,mwamba kapewa tuxo kwa kuweza kuhimili mihemko na hasira za ghafla.mimi ningekuwa jela
Wewe pia ungeenda kwenye send off ukiwa umelewa chakari? Huyo mlevi alikua sahihi kwenda kwenye send off akiwa kalewa chakari?IRrellevant,mwamba kapewa tuxo kwa kuweza kuhimili mihemko na hasira za ghafla.mimi ningekuwa jela
Duuh,na haukufanikiwa kumuoa mkuu? Em jazia nyama kidogo! Pole sana mkuu IghughuyiKususwa au kuachwa kunauma jamani duh!!! Nakumbuka nakaribia kwenda kujitambulisha ukweni ndo mchumba hataki kuongea nami kila KITU ni kigumu , halafu muda mwingine Nakula blacklist, niliumia sana aseeee.unaweza ua,,, ila hiii Dunia Ina watu wapole sana
Pia hata kama angefanya fujo angekutana na mkono wa sheria. Hiyo tuzo aliyopewa ni ya kimatukio tu, kutrend na tukio hakuna ushujaa wowote aliouonyesha huyo kijana.Wewe pia ungeenda kwenye send off ukiwa umelewa chakari? Huyo mlevi alikua sahihi kwenda kwenye send off akiwa kalewa chakari?
Naona mnashindwa kuangalia chanzo cha tatizo kabisa,
Sasa huyo Mwanaume angewezaje kufanya fujo wakati huo kalewa chakari? Mtu aliyezidiwa na pombe,anatakiwa alale tu,huyo hana cha busara bali pombe zilimzidi.
Kuchachuka sio sababu labda kuwe na Mengine, ndio maana tuliambiwa tuishi nanyi Kwa akiliNipo Magna, how are you?
Naona mpo kupokea tuzo😀
😀Mlikuwepo au taarifa ni hizi hizi za kuambiwa onlineHao watu wake wa karibu na huyo mlevi,wote ndio wale wale tu,wangekua na busara wasingemuacha ndugu yao akalewa chakari siku muhimu kama hiyo,walipatwa na aibu ya ndugu yao kwenda kalewa chakari ndio maana wakawa wapole.