Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Ni hivi, hata wewe na wenzako kadhaa mkimkuta jambazi anaiba, badala ya kujichukulia sheria mkononi na kumuua ingawa mnazo silaha, wewe na wenzako mkaamua kumfikisha Polisi salama, hakika tutakupongeza tu kwa kudhibiti hasira kaliJuzi tu mke wangu kanifata nikiwa chakari nimeshindwa kuendesha gari ikabidi nimpigie aje nilipo. Hoja hapa si matumizi ya pombe, hoja ni Tuzo baada ya matumizi ya pombe sehemu isiyo sahihi.
Nikuulize, hapo wizarani kijana aje kwenye mkutano maalumu na mh Raisi wa Jamhuri ya muungano akiwa amelewa raisi akamfukuza kazi utampa tuzo sababu hakuchana mafile wakati anaondoka?