Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Kweli kabisa mabibo, mburahati hadi kigogo.. vijana wengi wanaendesha maisha kwa ukibaka tena wadogo sana..”
Genge hili la mauaji ya vijana linaongozwa na watu wanaojiita Sungu sungu kutoka kata ya Jitegemee ,Mabibo wilaya ya Ubungo."
Poleni sana.
Wilaya ya Ubungo haina Kata inaitwa Jitegemee, ila ina Mtaa wa Jitegemee, uliopo Kata ya Mabibo.
Halafu muwape wanenu malezi mema. Kuna uvunjifu mkubwa sana wa maadili mitaa hiyo ya Kata za Mburahati na Mabibo. Kuna vibaka sana. Kabla ya kufikia kuuwawa, vijana wenu wakanyeni na muwafuatilie mjue nyendo zao.