Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati



Genge hili la mauaji ya vijana linaongozwa na watu wanaojiita Sungu sungu kutoka kata ya Jitegemee ,Mabibo wilaya ya Ubungo."

Poleni sana.

Wilaya ya Ubungo haina Kata inaitwa Jitegemee, ila ina Mtaa wa Jitegemee, uliopo Kata ya Mabibo.

Halafu muwape wanenu malezi mema. Kuna uvunjifu mkubwa sana wa maadili mitaa hiyo ya Kata za Mburahati na Mabibo. Kuna vibaka sana. Kabla ya kufikia kuuwawa, vijana wenu wakanyeni na muwafuatilie mjue nyendo zao.
Kweli kabisa mabibo, mburahati hadi kigogo.. vijana wengi wanaendesha maisha kwa ukibaka tena wadogo sana..
 
Mbona unawasemea Wanawake wenzio[emoji17]mlikaa kikao lini na wapi na kukubaliana kwamba Wanawake wote mtampa kura zote 2025??huo ndio umbea kama sio upashikuna,jiheshimu
Hapa ndipo alipo kosea
Nimempuuza
 
Huyo sura tu inaonyesha ni mtu wa namna gani,sungusungu huwa hawapigi hovyo ,mtaani kwangu kuna sungu sungu na uwizi umepungua ,usiku ukikutana nao njiani kama wanakufahamu wanakuacha maana sungusungu wengi ni vijana wa mtaani na wanafahamu watu wazuri na wabaya huo mtaa.Sasa unakuta mtu kakutwa usiku vichochoroni haalafu hata hajui jina la mjumbe wake
 
Binagsi nawapongeza sungusungu kwa kazi na ntakuwa natoa michango huyo kijana kasumbua sana mtaani nasikia alikuwa ni mwizi sana watu wamesherekea kifo chake hakuna anaelaum ukifanya utafiti wewe utakuwa ni miongoni mwa wenye watoto au ndugu vibaka
Hata sura tu inaonyesha huyo kijana ni mwizi
 
Bora hata useme wewe mkongwe,,, mana kule tangu enzi ya akina abdallah kuveta maeneo ya mburahati/kigogo mpaka wa leo vizazi na vizazi bado vinaendeleza mambo ya kishamba
Huko mburahati alikuwepo mkabaji mwizi anaitwa maseleko alisumbuaa sana
Anakamatwa anaachiwa,jela hakai akitoka
Anasumbua naona watu waliamua kummaliza
Huko hakufai vijana watoto watukutu sana

Ova
 
Kwa hiyo Viol wewe umekuwa mahakama? ....hao sungu sungu ni wahalifu kama wahalifu wengine hawaruhusiwi kuua kwa sababu yoyote
 
Kwa hiyo Viol wewe umekuwa mahakama? ....hao sungu sungu ni wahalifu kama wahalifu wengine hawaruhusiwi kuua kwa sababu yoyote
Wewe dada unajisumbua tu. Cha msingi hao watoto wako waliobaki walee kwenye maadili. Wafundishe kujitegemea kwa kufanya kazi kujiingizia kipato halali sio kula majasho ya watu kwa nguvu.

Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Na kila mtu huvuna alichopanda. Usitegemee mtoto kibaka basi raia waje wamchague kuwa ni mtakatifu, haitakaa itokee huyo siku zake zinahesabika atakufa tu kifo kibaya. Ubaya haujawahi kumwacha mtu salama.

Kama ulizoea kula kwa raha majasho ya watu aliyokuwa anakuletea asee saivi pambana na hali yako tu mama la mama. Hamna namna ingine.

Sisi kama raia wema hatuna msaada na watu wa aina yenu na vibaka wenzenu. Labda msaada tunaoweza kuwapa ni kuwarestisha chap kwa haraka tu.
 
Mkuu Chaliifransisco nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheria ,nchi haiongozwi kwa kufata akili zako hao sungusungu unaowatetea ni wahalifu kama wahalifu wengine...
 
Mkuu Chaliifransisco nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheria ,nchi haiongozwi kwa kufata akili zako hao sungusungu unaowatetea ni wahalifu kama wahalifu wengine...
Misingi hiyo ya sheria ndio inamruhusu huyo mwanao akabe na kuua watu wengine?

Wewe endelea kuulizia kifungu cha sheria ila jua kuwa watauwawa tu wote wanaochafua amani ya raia na usalama wa mali zao.

Pole kwa kuachwa mjane.
 
Chaliifransisco hao wahalifu sungusungu unaowatetea hawana mamlaka ya kuua hata kidogo...

Kazi yao kumkamata mhalifu na kumpeleka katika vyombo vya sheria...usitetee upumbabu...

Nchi yetu ya kistaarabu hatujafika hatua ya kuuana kama wanyama.
 
Msikimbilie kuwalaumu sungusungu yawezekana kuna mkono wa polisi hapo. Wazee wa PGO wanaweza kuwa ndo wameauthorize hayo maana hawaaminiki hao.
 
Chaliifransisco hao wahalifu sungusungu unaowatetea hawana mamlaka ya kuua hata kidogo...

Kazi yao kumkamata mhalifu na kumpeleka katika vyombo vya sheria...usitetee upumbabu...

Nchi yetu ya kistaarabu hatujafika hatua ya kuuana kama wanyama.
Kama unajua nchi yetu ni ya Kistaarabu ungemwambia kijana wako aache udokozi, Sisi wananchi wenye uwezo wa kujichukulia sheria mkononi suala la Kumbadilisha Jina kijana wako kuanza kuitwa marehemu ni kitendo cha dakika chache sana.

Kama unaona sungusungu hawana mamlaka ya kuua Vibaka/wezi nenda kawakamate uwapeleke huko polisi/mahakamani wafungwe.

Jinsi unavyochangia hapa inaonekana kama wewe ni mama basi wanao watakua na maadili mabovu sana.
 
Kwa hiyo Mastakiraka uko juu ya sheria ?

Hatua kali dhidi ya wauaji lazima zichukuliwe.Hata mh.Rais alikemea mtuhumiwa kufia mikononi mwa polisi sembuse hao wakora sungu sungu?
 
Kuna siku nilipeleka mgonjwa Amana hosipitali usiku kama saa sita, aisee aliletwa jamaa amakaywa mapanga na panya road huwezi mtazama mara mbili, hao madogo wakiiba wanakula na familia zao na siku zote huiba maeneo ya kitaa chao na wanawalenga wale wasiowajua au sio wenyeji wa mtaa ule
 
Back
Top Bottom