Kweli kabisa mabibo, mburahati hadi kigogo.. vijana wengi wanaendesha maisha kwa ukibaka tena wadogo sana..”
Genge hili la mauaji ya vijana linaongozwa na watu wanaojiita Sungu sungu kutoka kata ya Jitegemee ,Mabibo wilaya ya Ubungo."
Poleni sana.
Wilaya ya Ubungo haina Kata inaitwa Jitegemee, ila ina Mtaa wa Jitegemee, uliopo Kata ya Mabibo.
Halafu muwape wanenu malezi mema. Kuna uvunjifu mkubwa sana wa maadili mitaa hiyo ya Kata za Mburahati na Mabibo. Kuna vibaka sana. Kabla ya kufikia kuuwawa, vijana wenu wakanyeni na muwafuatilie mjue nyendo zao.
Hapa ndipo alipo koseaMbona unawasemea Wanawake wenzio[emoji17]mlikaa kikao lini na wapi na kukubaliana kwamba Wanawake wote mtampa kura zote 2025??huo ndio umbea kama sio upashikuna,jiheshimu
Hata sura tu inaonyesha huyo kijana ni mwiziBinagsi nawapongeza sungusungu kwa kazi na ntakuwa natoa michango huyo kijana kasumbua sana mtaani nasikia alikuwa ni mwizi sana watu wamesherekea kifo chake hakuna anaelaum ukifanya utafiti wewe utakuwa ni miongoni mwa wenye watoto au ndugu vibaka
Vibaka wanatumia kifungu kipi cha sheria kufanya uhalifu ?Ndugu niache Mimi.Nioneshe kifungu Cha sheria kinachowapa mamlaka sungu sungu kuua?
Bora hata useme wewe mkongwe,,, mana kule tangu enzi ya akina abdallah kuveta maeneo ya mburahati/kigogo mpaka wa leo vizazi na vizazi bado vinaendeleza mambo ya kishambaWatoto na vijana huko mburahati waache uhuni
Na mambo ya kizamani
Ova
Huko mburahati alikuwepo mkabaji mwizi anaitwa maseleko alisumbuaa sanaBora hata useme wewe mkongwe,,, mana kule tangu enzi ya akina abdallah kuveta maeneo ya mburahati/kigogo mpaka wa leo vizazi na vizazi bado vinaendeleza mambo ya kishamba
Wewe dada unajisumbua tu. Cha msingi hao watoto wako waliobaki walee kwenye maadili. Wafundishe kujitegemea kwa kufanya kazi kujiingizia kipato halali sio kula majasho ya watu kwa nguvu.Kwa hiyo Viol wewe umekuwa mahakama? ....hao sungu sungu ni wahalifu kama wahalifu wengine hawaruhusiwi kuua kwa sababu yoyote
Misingi hiyo ya sheria ndio inamruhusu huyo mwanao akabe na kuua watu wengine?Mkuu Chaliifransisco nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheria ,nchi haiongozwi kwa kufata akili zako hao sungusungu unaowatetea ni wahalifu kama wahalifu wengine...
JJE alikuwa ni mwizi???
Kama unajua nchi yetu ni ya Kistaarabu ungemwambia kijana wako aache udokozi, Sisi wananchi wenye uwezo wa kujichukulia sheria mkononi suala la Kumbadilisha Jina kijana wako kuanza kuitwa marehemu ni kitendo cha dakika chache sana.Chaliifransisco hao wahalifu sungusungu unaowatetea hawana mamlaka ya kuua hata kidogo...
Kazi yao kumkamata mhalifu na kumpeleka katika vyombo vya sheria...usitetee upumbabu...
Nchi yetu ya kistaarabu hatujafika hatua ya kuuana kama wanyama.