Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Umeelezea vyema kabisa mkuu, modern women kuendana nae na uifurahie ndoa yapasa ukubali uhalisia mapema kabla hata ya kumpata na kumuoa vinginevyo utajitaftia matatizo matupu.
Asante sana mkuu tatizo vijana wenzetu Hawa wanaolia Lia humu asilimia kubwa ya changamoto zoa zimesababishwa na wao wenyewe bila kujua.

Mtu anaoa/kudate na mwanamke mwenye degree na exposure ya vitu Kibao, halafu eti anataka kuishi na mwanamke huyo kama ambavyo angeishi na Kuruthumu aliyeishia Form Four B Tena shule ya Kata.

Kama wewe unaamini kwenye patriarchy basi tafuta mwanamke ambaye amelelewa kwa kuamini kwenye mfumo dume(asili) mbona wapo?

Mwanamke A: hivi unajua kwenye jamii yetu wapo wanawake ambao wewe mwanaume ukimpa uhakika tu wa Kula ubwabwa na maharage Kila siku iendayo kwa Mungu halafu ndani Kuna king'amuzi Cha Azam ambapo Kila akimaliza kupika na kuosha vyombo anakuja kuangalia Sinema Zetu, yeye anaridhika kabisa na wewe mume wake atakutii na kukuona kama YESU na kamwe hawezi kukupa stress za aina yoyote ile?

Mwanamke B: Kwenye hii hii jamii yetu pia wapo wanawake ambao Kila wakilala na kuamka wanakuja na ndoto mpya au mitazamo mipya ya kimaisha.. na mwanamke huyu unakuta anawaza siku Moja kupitia career yake awe na uwezo wa kuzalisha angalau ajira 2,000 kwenye jamii yake na yeye asomeke kwenye FORBES MAGAZINE kama akina Folorunsho Akija, mwanamke huyo unakuta anapanga siku Moja aje afanye Space Tourism..na wanawake wa dizaini hii mahusiano kwao yemebeba sehemu ndogo sana.

Sasa kimbembe unakuta kijana ana muapproach mwanamke B halafu matarijio yake ni ya mwanamke A, Sasa ni nini kitatokea hapo kama sio mifarakano?
 
Hapo Sasa nimekuelewa, na hivi ndivyo jinsi mwanaume unavyotakiwa kuishi.
 
Kwa hii situation nitakuambia usioe huyo mwanamke mwenye mtoto majuto yake ni mara mia zaido ya hao wa buku mbili wala bata ila kama unapenda amani zaa na mwanamke ambaye bado hajazalishwa alafu usiishi nae wewe tunza mtoto
Kijana wa buku bee anataka kuoa mshangazi wa 90s Tena single mom, halafu anajenga na hoja kabisa, aisee kweli hiki kizazi kinahitaji liberation kutoka kwenye pussy slavery
 
Ni lazima iwe shida sana kuishi na kuendana na mwanamke B
 
Sasa tatizo upwiru, utaulalizia wapi?
 
Wewe ulijizaa?
 
Tulishamuacha muasisi mkuu wa ndoa MUNGU then mnataka nini tena? Acha yatukute tu, haya mambo ya kila ndani ya miaka 3 mnaachna, upata mwingne then inakua hivo hivo, hata nguvu ya kupambn na umasikin inaisha, kucha kubadilisha mahusiano tu, mimi nimeshakata tamaa.
 
Kama kuna binti ana sifa za mwanamke A na anahitaji permanent relationship. I'm really ready for her[emoji7]
 
Mkuu sio wewe uliyekata tamaa, hata mimi sioni kama ntakuja kuoa,nafkiria ni bora kuwa na watoto, niwe mlezi nkishirikiana na mama yao.
 
Mpaka update huyo aliye sahihi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…