Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ni malayaUnahisi kwa nini wanawake wengi wametanguliza pesa mbele kuliko upendo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni malayaUnahisi kwa nini wanawake wengi wametanguliza pesa mbele kuliko upendo??
Malaya anaweza lala na wanaume bila hata pesa kuwa involved. Sababu nyingine unahisi ni ipi?Ni malaya
Nakuona unaelekea kupigwa tukio moja matata saaana ambalo litavuruga moyo wako, nafsi na roho kupitia huyo wa 97.Mimi Nina miaka 24 nimepata binti 1997 anamiaka 27 na anamtoto wa miaka 5 anasema bwana wake alimpa mimba miaka hiyo 2019 na hajawah kuongea hadi Leo kwa mujbu wa mwanamke anasema hajui aliko mtoto a nalelewa na bibi yake mama ake binti
Lakini nilichokiona kwake kuna stage kashazivuka ametulia
Tatzo la hawa 2000 wenzangu kushuka chini Yan Kila naemtaka anakwambia umri bado wanataka wale bata kwanza so kwa hii situation utasemaje
Kwa kukusaidia tu kwenye hiki kipengele maana kwa jinsi ulivyoandika unaonekana Bado uko plugged kwenye matrix.
Tafsiri yao ya wewe kukubali challenges iko tofauti kabisa na unavyofikiria wewe.... Yaani kwa upande wao mwanaume anayekubali challenges ni yule ambaye anakubaliana na mawazo yao,matakwa yao na kuyafuata kwa 100%..
na hakuna kitu kama maamuzi ya pamoja kwa Hawa modern women Bali Kuna Maamuzi yake, na usipofuata maamuzi yake utapewa tags zote za kishenzy kama vile caveman, pigheaded,stone ager, sexist, male chauvinist,bigot.
Kimsingi Mimi naona ungeweka clear kwamba mambo yamebadilika hivyo hatuna budi kukubali kuwa chini yao hili mambo yasiwe mengi na sio kuleta habari za maamuzi ya pamoja kwa Sababu hayapo kwa hii generation tuliyonayo.
Wacha likukute mkuu
Nyie ndiyo vijana wanawake wanawalazimisha muishi pamoja bila ridhaa yako maana umekataa kuoaSio ndogo,vijana tumefika ukingoni hatuna namna
Kwa hii situation nitakuambia usioe huyo mwanamke mwenye mtoto majuto yake ni mara mia zaido ya hao wa buku mbili wala bata ila kama unapenda amani zaa na mwanamke ambaye bado hajazalishwa alafu usiishi nae wewe tunza mtotoMimi Nina miaka 24 nimepata binti 1997 anamiaka 27 na anamtoto wa miaka 5 anasema bwana wake alimpa mimba miaka hiyo 2019 na hajawah kuongea hadi Leo kwa mujbu wa mwanamke anasema hajui aliko mtoto a nalelewa na bibi yake mama ake binti
Lakini nilichokiona kwake kuna stage kashazivuka ametulia
Tatzo la hawa 2000 wenzangu kushuka chini Yan Kila naemtaka anakwambia umri bado wanataka wale bata kwanza so kwa hii situation utasemaje
Mungu hana 50% kwa 50%Ni ajenda ya kuzimu kumpa nguvu mwanamke kisha wakasema usawa, ile 50/50 kwa jinsia zote.
Huku ni kwenda kinyume na makusudi ya Mungu.
Hapa mkuu ulipaswa kuianzishia thread kabisa.Lakini pamoja na mambo yote ya kuogofya yanayoendelea kwenye Tasinia nzima ya mahusiano, binafsi naona Bado mtu akiamua kuoa na kuifurahi ndoa inawezekana....
Ni aina tu ya uchaguzi wa mwanamke unaoufanya.
Ukichunguza kwa makini utagundua hii mifarakano tunayoiona kwenye mahusiano siku hizi ni kutokana na sisi wanaume kuchagua wanawake ambao hawana Tena zile characters au mienendo tunayoitaka.
Wengi tunataka mwanamke ambaye yuko obedient, mwenye nidhamu, atakaeyapa kipaumbele mahusiano yetu na asiyekuwa na tamaa za mambo makubwa makubwa yaliyo nje ya uwezo wetu.... Na mara nyingi wanawake wa dizaini hii hawapo mijini maana Hawa ni conservative women wanapatikana vijijini hukoooo...
Hapa mjini wamejaa modern women ambao ndio Wana hizi sifa ulizozitaja hapa.
Kinachowatesa wanaume wengi ni kumchukua modern woman akitegemea kwamba atakuwa na sifa au ataishi kama conservative traditional women.... Mwisho wa siku anakuja kuwa disappointed tu.
Hawa modern women nao pia wana wanaume wao wanaowafaa na ndio maana pia wanaolewa,.. Hawa modern women hili uweze kuishi nao basi yakupasa uwe gynocentrised kama walivyo akina Tsh na Half american na sio wewe mwenzangu na Mimi ambaye Bado una traditional masculine elements.
Ukitaka kuoa na uishi na furaha basi oa mwanamke ambaye ataithamini ndoa na ataiona ndoa inabeba sehemu kubwa ya maisha yake na siku zote ataipigania kuilinda kiroho na kimwili na huwezi kumkuta na sifa hata moja kwenye hizi ulizozitaja hapa na mwanamke huyo ni traditional conservative woman.
Hawa modern women ndoa kwao ni kitu Cha ziada sana na hawaoni ajabu kuipoteza hata kama Ina wiki mbili, wao career na kutafuta hela katika mazingira yoyote Yale ndio kitu kilichopo akilini mwao na kwanza hata kwenye ndoa hizo ndoa zenyewe huwa wanaingia kimikakati kutimiza malengo yao binafsi.
Kwa hiyo kuwa na ndoa yenye furaha kwa Karne hii ni jambo ambalo Bado linawezekana kabisa.
Hakika Jf ni kisima cha maarifa, nipo hapa nasoma neno kwa hatua, hatua kwa hatua.Saikolojia ya Mwanamke imebadilika au imebadilishwa?
Usiwadanganye Vijana kuwa Kuna familia ya Maamuzi ya Pamoja HAIPO.
Kuna ile Familia Baba ndio kichwa Anatoa yeye maamuzi na anapokea Ushauri kutoka kwa Mkewe au hata watoto kama watakuwa tayari wakubwa. (Familia za mababu zetu)
Alafu kuna ile Familia Mama ndio Mwenye Sauti na Baba Anakuwa DUME BWEGE kila kitu yeye Sawa. (Familia wanazozitaka hawa wanawake Wa Sasa Wanaharakati).
Ukiwasikia Wanawake wanadai haki sawa, Jua sio Haki sawa Wanataka wao Kuwa Juu. Usidhani Harakati zao za Usawa Zitasimama endapo Huo Usawa Ukipatikana.
Bado watataka Waendelee Kudai usawa Hata kama Wao ndio Watakuwa Wapo Juu zaidi (Na hili limeshaanza kujitokeza)
Utakapo msikia Mkeo anataka Usawa ndani ya Familia Jua anamaanisha anataka wewe uwe Chini yake.
Na Ukishaona Unaanza Kufanya maamuzi ya pamoja na Mwanamke Jua wewe Ndio Unastahili zaidi Kuitwa MWANAMKE.
By the way Mimi Sikatazi vijana wasioe Kwa sababu Dini zetu zinahalalisha Mahusiano na Tendo la ndoa Kupitia Mkataba maalum wa NDOA.
Ila Nawasisitiza Vijana Zijue Ishara za mwanamke mwenye Idea za Ki feminism kisha Ukiziona kwa Mwanamke mkimbie.
Na ikiwezekana Kabla hujamuoa mpe Hints juu ya jambo hilo na Weka misimamo yako mapema (Acha Kujidai eti wewe ni Gentleman,, utakufa kwa pressure)
Na Usione Uzito Kuachana na Mwanamke punde tuu Anapoanza kuonesha makucha ya Ufeminism.
Hutopata maisha ya Amani na Feminist.
Nina uncle wangu, alipodhoofu tu kiafya mwanamke akasepa kwao na watoto, hali ikawa mbaya zaidi. Alipokuja kupata nafuu ya kiafya na uchumi umeanza kusimama mkewe akaanza kuomba msamaha warudiane akizingizia kwamba ni shetani tu alimpitiaTusipooa mkuu, nani atatufariji siku zetu za mwisho mwisho tukiwa hoi kitandani , huku kifo kikiwa karibu kabisa chini ya mvungu wa kitanda?
haha .Noma sana.Hata kushauri atakumalizia kabisa kwa mawazo
Na hutapata huo muda wakufikia uzee mwema
hatari sana mdau. Tunaishi nyakati ngumu sanaNina uncle wangu, alipodhoofu tu kiafya mwanamke akasepa kwao na watoto, hali ikawa mbaya zaidi. Alipokuja kupata nafuu ya kiafya na uchumi umeanza kusimama mkewe akaanza kuomba msamaha warudiane akizingizia kwamba ni shetani tu alimpitia
Wanawake wa miaka ya leo wanapasua vichwa sana. Ndoa zimepoteza maana tena. Wamebaki wanawake wachache mno wanaojitambua na kuheshimu taasisi ndoa wakiwemo baadhi ya mama zetu waliotukuza kwa kushirikiana na baba zetu enzi hizo
Ndiyo haya tunayoyashangaa, mnapenda ligi sana na wanaume, heshima na utii mmepunguza sana. Hakuna mwanaume wa kuvumilia kwa muda mrefu arguments kama hiziNyie hamna dosari?? Tuvumiliane tu ile kibishi hakuna alie perfect.
Nakuona unaelekea kupigwa tukio moja matata saaana ambalo litavuruga moyo wako, nafsi na roho kupitia huyo wa 97.
Ni kweli mkuu hawa buku mbili wanatoa sana mimba ilaKwa hii situation nitakuambia usioe huyo mwanamke mwenye mtoto majuto yake ni mara mia zaido ya hao wa buku mbili wala bata ila kama unapenda amani zaa na mwanamke ambaye bado hajazalishwa alafu usiishi nae wewe tunza mtoto