Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Ili mambo yawe shwari ni lazima wanaume tukubali ukweli kuwa kwa sasa mambo yamebadilika!! Tukubali Challenges toka kwa wake zetu, tuzijadili na kuziweka sawa!! Maamuzi yawe ya pamoja na nk
Kwa kukusaidia tu kwenye hiki kipengele maana kwa jinsi ulivyoandika unaonekana Bado uko plugged kwenye matrix.

Tafsiri yao ya wewe kukubali challenges iko tofauti kabisa na unavyofikiria wewe.... Yaani kwa upande wao mwanaume anayekubali challenges ni yule ambaye anakubaliana na mawazo yao,matakwa yao na kuyafuata kwa 100%..

na hakuna kitu kama maamuzi ya pamoja kwa Hawa modern women Bali Kuna Maamuzi yake, na usipofuata maamuzi yake utapewa tags zote za kishenzy kama vile caveman, pigheaded,stone ager, sexist, male chauvinist,bigot.

Kimsingi Mimi naona ungeweka clear kwamba mambo yamebadilika hivyo hatuna budi kukubali kuwa chini yao hili mambo yasiwe mengi na sio kuleta habari za maamuzi ya pamoja kwa Sababu hayapo kwa hii generation tuliyonayo.
 
Lakini pamoja na mambo yote ya kuogofya yanayoendelea kwenye Tasinia nzima ya mahusiano, binafsi naona Bado mtu akiamua kuoa na kuifurahi ndoa inawezekana....

Ni aina tu ya uchaguzi wa mwanamke unaoufanya.

Ukichunguza kwa makini utagundua hii mifarakano tunayoiona kwenye mahusiano siku hizi ni kutokana na sisi wanaume kuchagua wanawake ambao hawana Tena zile characters au mienendo tunayoitaka.

Wengi tunataka mwanamke ambaye yuko obedient, mwenye nidhamu, atakaeyapa kipaumbele mahusiano yetu na asiyekuwa na tamaa za mambo makubwa makubwa yaliyo nje ya uwezo wetu.... Na mara nyingi wanawake wa dizaini hii hawapo mijini maana Hawa ni conservative women wanapatikana vijijini hukoooo...

Hapa mjini wamejaa modern women ambao ndio Wana hizi sifa ulizozitaja hapa.

Kinachowatesa wanaume wengi ni kumchukua modern woman akitegemea kwamba atakuwa na sifa au ataishi kama conservative traditional women.... Mwisho wa siku anakuja kuwa disappointed tu.

Hawa modern women nao pia wana wanaume wao wanaowafaa na ndio maana pia wanaolewa,.. Hawa modern women hili uweze kuishi nao basi yakupasa uwe gynocentrised kama walivyo akina Tsh na Half american na sio wewe mwenzangu na Mimi ambaye Bado una traditional masculine elements.

Ukitaka kuoa na uishi na furaha basi oa mwanamke ambaye ataithamini ndoa na ataiona ndoa inabeba sehemu kubwa ya maisha yake na siku zote ataipigania kuilinda kiroho na kimwili na huwezi kumkuta na sifa hata moja kwenye hizi ulizozitaja hapa na mwanamke huyo ni traditional conservative woman.

Hawa modern women ndoa kwao ni kitu Cha ziada sana na hawaoni ajabu kuipoteza hata kama Ina wiki mbili, wao career na kutafuta hela katika mazingira yoyote Yale ndio kitu kilichopo akilini mwao na kwanza hata kwenye ndoa hizo ndoa zenyewe huwa wanaingia kimikakati kutimiza malengo yao binafsi.

Kwa hiyo kuwa na ndoa yenye furaha kwa Karne hii ni jambo ambalo Bado linawezekana kabisa.
 
Ulivyomaliza kuandika huu Uzi ulilipwa shingap na wasio oa ??
 
Sishauri kijana ambaye hajaoa kuingia kwenye ndoa, wanawake wa sasa wamekua ni chanzo kikuu cha wanaume kufa mapema kwa magonjwa hatari yatokanayo na msongo wa mawazo
Kama haujaoa unataka uzeeke ili iweje? hata ukifa mapema ni sawa tuu.
 
FACT💯💯
 
Haya ndo nayaona kwa huyu niliyenaye hakika
Ondoka mapema.mkuu usije kufa mapema ..hii ishu ni siriaz sana ..saiv bora mtu ukae mwenyewe tu ufanye ishu zako kivyakovyako ..uwasaidie wazaz wako na wasiojiweza baaaas,pia furaha unatakiwa kujiletea mwenyewe na sio kusubiri kupewa..mwanamke pekee anayetakiwa kukuumiza ama kukuletea furaha katika dunia hii ni mama yako tu.
 
Katiba ya united republic of nyeto ndio inasoma hivyo?
 

Saikolojia ya Mwanamke imebadilika au imebadilishwa?

Usiwadanganye Vijana kuwa Kuna familia ya Maamuzi ya Pamoja HAIPO.

Kuna ile Familia Baba ndio kichwa Anatoa yeye maamuzi na anapokea Ushauri kutoka kwa Mkewe au hata watoto kama watakuwa tayari wakubwa. (Familia za mababu zetu)

Alafu kuna ile Familia Mama ndio Mwenye Sauti na Baba Anakuwa DUME BWEGE kila kitu yeye Sawa. (Familia wanazozitaka hawa wanawake Wa Sasa Wanaharakati).

Ukiwasikia Wanawake wanadai haki sawa, Jua sio Haki sawa Wanataka wao Kuwa Juu. Usidhani Harakati zao za Usawa Zitasimama endapo Huo Usawa Ukipatikana.

Bado watataka Waendelee Kudai usawa Hata kama Wao ndio Watakuwa Wapo Juu zaidi (Na hili limeshaanza kujitokeza)

Utakapo msikia Mkeo anataka Usawa ndani ya Familia Jua anamaanisha anataka wewe uwe Chini yake.

Na Ukishaona Unaanza Kufanya maamuzi ya pamoja na Mwanamke Jua wewe Ndio Unastahili zaidi Kuitwa MWANAMKE.

By the way Mimi Sikatazi vijana wasioe Kwa sababu Dini zetu zinahalalisha Mahusiano na Tendo la ndoa Kupitia Mkataba maalum wa NDOA.

Ila Nawasisitiza Vijana Zijue Ishara za mwanamke mwenye Idea za Ki feminism kisha Ukiziona kwa Mwanamke mkimbie.

Na ikiwezekana Kabla hujamuoa mpe Hints juu ya jambo hilo na Weka misimamo yako mapema (Acha Kujidai eti wewe ni Gentleman,, utakufa kwa pressure)

Na Usione Uzito Kuachana na Mwanamke punde tuu Anapoanza kuonesha makucha ya Ufeminism.

Hutopata maisha ya Amani na Feminist.
 
Kweli ila kuoa ni faladhi (lazima) lakini umesema ukweli
 
Umeelezea vyema kabisa mkuu, modern women kuendana nae na uifurahie ndoa yapasa ukubali uhalisia mapema kabla hata ya kumpata na kumuoa vinginevyo utajitaftia matatizo matupu.
 
Huoni na ww unaharibu maana,kwa kutengeneza single mother unakuja kutengeneza product ya watoto ambao watakuja kuwa na tabia za hovyo kuliko wewe na huyo mwanamke uliye mzalisha.

kweli siku hizi ndoa zinachangamoto tena kubwa sana,moja ya sababu vijana makuzi hawajapitia kwenye mifumo ya jando na unyago, pili wengine wamelelewa na single parents au wamekosa kuona upendo kupitia ndoa za wazazi wao,tamaa za vijana kundekeza hela mbele na mabinti kupoteza usichana wao mapema.

Ila still haindoi umuhimu wa ndoa na ndoa sio kwa ajili ya wanawake, japo vetting ya kupata mke mwema ni ngumu mno sana ila wanawake wenye tabia nzuri wapo japo ni wachache.

Hiki kizazi cha single parent tunacho kutengeneza, ndicho kitakuja kuwa kizazi kibaya mno sababu, kimekosa upendo,hakijui nini maana ya familia, hakina hisia ya upendo,hakijui wajibu wake kama yy atakuja kuwa nani kwenye familia. Still bado ndoa ina umuhimu wake wa kujenga familia na kizazi kilicho bora.
 


Ukisikia “theory” I siyo na uhalisia ndo ulichoandika hapa!!!!

Hakuna mwanaume ajadili na mwanamke na kujaribu kutatua changamoto!

Wanawake ni Changamoto kubwa sana huku ulimwenguni kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…