Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

Bamusakata na walozi😇😇

Akuje Kigoma nikirudi. Dawa ya mlozi ni mlozi.

Utani pm nikupe namba ya mlozi mkuu.
 
Haya mambo changamoto yake huwezi kuyatolea ushahidi ila yapo sana

Kuna jamaa tulimaliza naye A'level na kuchaguliwa wote kwenda Chuo kikuu, we all took engineering.

Jamaa hata semester hakumaliza, akawa Chizi, hivyo ku-postpone masomo

Hivyo kurudishwa Kijijini kwao

Wakati tunaingia second year, yeye alishauriwa abadili course kwamba pengine Masomo ya Uhandisi yalikuwa magumu kwake. Hivyo akaenda kusoma Education

Nayenyewe hakumaliza Mwaka, kichaa kikamuanza tena

Kumbe ndugu zake huko Kijijini, hawakufurahishwa naye kufauru na kuendelea na Elimu ya Juu

Kwasasa jamaa analima tu kule kwao, hana cha familia Wala nini licha ya kuwa umri wetu umeenda

Waafrika hasa ndugu, baadhi hupenda kurudishana nyuma

Furaha yao ni kuona hupigi hatua za kimaisha 🙌
 
Una fix wewe!
Nyie si mnanichukulia kimaskharaa, mimi ni MBADI HASWAAAAAA!

Walijaribu kunitumiaa madude mabaya sana lakini niliya-neutralize swiftly and smartly.

Nilipata madhara kiasi lakini nilifanikiwa kuyadhibiti kikamilifu.

Nachekesha eeeehh???? Hatari FIREE usiombe...

Sema sisi wengine hatulogeki hivyo...... maana kwa ndani tuna mitambo mizito sana, ukija kichwa kichwa utasambaratika.

Cc: Extrovert
 
Mbaya sana mkuu watu msiage icho ndich nilicho jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…