Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Kwahiyo unajiskia vizuri kabisa kumnyima mwamba mkewe?πHuyo kuna sehemu nilimponda sana π€£π€£π€£
Hadi shosti yangu akampotezea
Ya kutoshaa π€£π€£Mashosti ndio masijala mna mafaili yetuπ
π€£π€£π€£ Akhu! Sio huyoHuyu atakuwa cwf π
Ndio niniHuyu atakuwa cwf π
Na ukinipitisha kwako je?Ya kutoshaa π€£π€£
Yani nikikupitisha kwa shosti yangu ujue wewe unatuma na ya kutolea bila kulalamika
π€£π€£π€£ Bwana shemeji emu tulia basiEbu eleza wasifu wako vizuri π
π€£π€£π€£ Tatizo mkono wake mfupi bahiliKwahiyo unajiskia vizuri kabisa kumnyima mwamba mkewe?π
Mbona code rahisi hiyo hujaielewa?? π€£π€£Ndio nini
Kwa kuwa ulifukuza njiwa wangu, nakuja kukumwagia wewe kile alichotakiwa kupewaπ€£π€£π€£ Akhu! Sio huyo
Nijipitishe bila kupingwa km the late chuma, pesa unayo? π€£π€£π€£Na ukinipitisha kwako je?
Umejuaje?π€£π€£π€£ Tatizo mkono wake mfupi bahili
ID ya zamaniNdio nini
Kwamba mimi ni boya niseme hapa sina ππNijipitishe bila kupingwa km the late chuma, pesa unayo? π€£π€£π€£
πππ anhaa nshaelewaID ya zamani
Zima taa tufanye yetu ππ€£π€£π€£ Bwana shemeji emu tulia basi
Acha umbea lione π€£π€£π€£Umejuaje?
Nshaelewa πMbona code rahisi hiyo hujaielewa?? π€£π€£
Shemeji uliemkataa?πAcha umbea lione π€£π€£π€£
Hiyo tunajua wenyewe na shemeji yangu
Shemeji hayaishi kila uzi unamponda shosti yangu, leo umeamua kuniponda wazi wazi shosti yake ( Mpika sumu) π€£π€£π€£π€£Kwa kuwa ulifukuza njiwa wangu, nakuja kukumwagia wewe kile alichotakiwa kupewa