Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

Kimelia nini?
 
Ss hivi mjamzito eti [emoji1787][emoji1787]

Kasema nisimsumbue mimba yake isije kutoka [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ananipa burudani yule afu haogopi mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna siku nilicheka sana usiku,alicharuka balaa, kila ukimtuliza wala, ndiyo kama una mchochea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna siku nilicheka sana usiku,alicharuka balaa, kila ukimtuliza wala, ndiyo kama una mchochea[emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣 Yaani ile siku kulikuwa kutamu balaa, nilicheka mpk mbavu ziliniuma.
Juzi kuna uzi alimshushua mtu, kila nikikumbuka mbavu zinauma.
Akivurugwa wote tunachambwa had mawizo wake.
 
Ss hivi mjamzito eti 🀣🀣

Kasema nisimsumbue mimba yake isije kutoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ananipa burudani yule afu haogopi mtu
Imeingilia wapi? πŸ˜€ πŸ˜€
 
Siku ya mwisho inakaribia mtachomwa moto πŸ˜€
Sema tutachomwa wewe mbona unajitoa?? 🀣🀣🀣
Me dhambi yangu kubwa udaku lazima unipeleke motoni na nikifika nitamtafuta shetani nihakikishe km kweli ana mapembe 🀣🀣
 
Afadhali hata hao kabla ya mahusiano,, sasa wanaume ambao kila linalotokea na mke wake lazima awafahamishe ndugu yake, hapo kuna kuwa na kichwa kweli licha ya ndevu uso mzima?[emoji1][emoji1]
 
Afadhali hata hao kabla ya mahusiano,, sasa wanaume ambao kila linalotokea na mke wake lazima awafahamishe ndugu yake, hapo kuna kuwa na kichwa kweli licha ya ndevu uso mzima?[emoji1][emoji1]
Kwenye ndoa, mgogoro unamalizwa na wao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…