Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
najua unanitrigger kwa kujaribu kunitusi kiintelijensia bahati mbaya sinaga tabia ya kupanic ila nakwambia hivi we endelea kufuga malaya ushauri wangu leo wakati unamuweka mchunguze kinyeo ka kina rinda, nje na hapo endelea kufuga malaya.Kwa hiyo unauza siyo?
na hao mliowaoa ndo wanakuja kutuuzia mabaharia, na tunapiga mpaka honi inazimaKama unauza kila la kheri na kampeni yako,
Sisi mashababi ndoa lazima.
Lazima tuoe
Yeye mwenye anapigwa matukio daily na mademu zake Waha wa huko kibondo sijui buhigwe.Wewe ni mpumbavu nani kakuambia kila mtu ana imani hizo za kipumbavu kuwa kila mtu kaumbwa sijui na huyo muumba ? Mbona wewe ni mpuuzi hivi
Siku nikioa lazima nikupe mwaliko deaf gal. Labda ukatae mwenyeweKuna mshikaji wetu alipokaribia kuoa mwaka jana mwezi wa 12, akawa anashinda bar analewaaaaa 😂😂😂 Kuna muda unamuona yupo deep kwenye mawazo, nikamuuliza shida nini bro? Utasikia we acha tu! Hatimae akaoa zake na hivi wakishua harusi ilikuwa classic.
Sa hivi yuko busy kumpost wifi tu….. binafsi nikadhani labda mwanamke wake ni controlling, ndio maana jamaa alipata mawazo sana.
Wanaume wengi wataoa, ni suala la muda tu… iwe ndoa ya kanisani, msikitini, kimila au sogea tukae.
Afande wa Zanzibar si alikuwa kaoa na watoto anaoAidha uoe au uolewe
1. sinunui kiumbeUkute umeoa undanganya wenzako
Ndio maana nikasema weka huo mkataba tuone utapeli upo wapi?Mkuu wengi mnasaini mkataba wa ndoa bila kuzisoma sheria za ndoa.
Wew unaona sheria za ndoa zina usawa wa kijinsia hasa pale linapokuja swala la talaka?
Wajinga Ndiyo WanaoliwaNdoa ni pango la wanyang’anyi😂😂😂😂
Uongo taarifa nilizonazo unafamilia tena sio moja sema nikuseme vizuri wewe na Equation x hamna tofauti1. sinunui kiumbe
2. sihudumii asiye mgonjwa
Kuna pesa inatafutwaga na mtu mmoja?! Lazima mshirikianeKwani pesa lazima utafute na mtu?
ndiyo nna familia ya baba na mamaUongo taarifa nilizonazo unafamilia tena sio moja sema nikuseme vizuri wewe na Equation x hamna tofauti
Nitafika bila kukosa.Siku nikioa lazima nikupe mwaliko deaf gal. Labda ukatae mwenyewe
Nani kaku trigger na kwanini upaniki?najua unanitrigger kwa kujaribu kunitusi kiintelijensia bahati mbaya sinaga tabia ya kupanic ila nakwambia hivi we endelea kufuga malaya ushauri wangu leo wakati unamuweka mchunguze kinyeo ka kina rinda, nje na hapo endelea kufuga malaya.
Jidanganye namtu anakujua fika akulipue au akusamehe hadi picha yako anayondiyo nna familia ya baba na mama
picha nikiwa nanyetuka au ?Jidanganye namtu anakujua fika akulipue au akusamehe hadi picha yako anayo
hilo nilishakujibu soma reply ya nilicho reply usijikute shababi kumbe kuna mashababi zaidi yakoNani kaku trigger na kwanini upaniki?
Nimekupa ushauri nenda kwa mama yako,mwambie akutafutie mke update bikra,sasa nimetrigger wapi?
Mchumba unatafuta mwenyewe mdogo wangu.Tutafute kwanza mchumba sasa... Nisaidie
Mbona Junior tayari yupo shule mkuu, kwa hiyo hiz tunazotafuta peke yetu ni makaratasi sio[emoji848]Kuna pesa inatafutwaga na mtu mmoja?! Lazima mshirikiane
Hebu oa mnachelewesha kina Junior kuanza shule [emoji23][emoji23][emoji23]