ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Niliyemjibu katumia Bible kama reference, kamsome.Vipi mtu asieamini Mungu,hizi points zako ni valid?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliyemjibu katumia Bible kama reference, kamsome.Vipi mtu asieamini Mungu,hizi points zako ni valid?
Achana na huyo. Wewe unafikiri kila mtu anaamini Mungu? Points zako sio valid kwa kila mtu. Wengi tu hawaamini mambo dini.Niliyemjibu katumia Bible kama reference, kamsome.
Okay, sasa uniulize mimi ili nitoe mawazo yangu. Ila sijatoa hoja yoyote, nilijibu mawazo ya niliyemkwoti.Achana na huyo. Wewe unafikiri kila mtu anaamini Mungu? Points zako sio valid kwa kila mtu. Wengi tu hawaamini mambo dini.
Defensive mechanism. Huna jipyaMkuu unaona wanavyonishambulia. Hao wote ni LGBTQ ndio asili ya hii movement ya kataa ndoa
Mkuu mbususu tunazila na tumezaa kitaa ila kuingia mikataba ya kinafiki na watu ndio watu hawatakiNdoa ni hiari mzee, siafikiani na kataa ndoa maana hao ni wapiga puli wa kutupwa, wanaogopa wanawake dana, ila kuna sababu nyingi za mtu kutooa, usiwalazimishe.
Vipi kama ashafanikiwa hayo yote.Kijana Usikate majukumu, usikatae ndoa... OA UFANIKIWE KIUCHUMI, KIJAMII NA KIROHO
dronedrake chambua hii statement kwa lugha ya kiswahili..
Ukila kijiti, wala hujali wakiongea hahahahaMwaka huu mtanichukia sana, si wanaume wala wanawake. Sitajali maana lengo ni kujenga. Kidogo kidogo tutakaa sawa😎😎
KabisaNdoa ilikuwa na maana kipindi ambacho WAzee wetu waliweza kuoa wake kuanzia 2 na kuendelea.
Yawezekana wewe ndio shoga unajifichia kwenye kichaka Cha ndoa.Ni
Ni kampeni ya kishoga,ukimwona Mwanaume anasupport jua tumemkosa mwana
jamaa hajaingilia uamuzi wa mtu,anasemea kampeni ya kataa ndoa,ndio sababu hata ameainisha aina ya watu anaofikiri wako nyuma ya kampeni hiyo.No offense broh, kiuhalisia unaweza Kuta wewe ndio ndio kuna uwalakini kwenye uanaume wako. Why nasema hivyo?
Ndoa ni utaratibu ambao binadamu wameweka ili kuinteract, kuzaliana nk. Kuoa/kuolewa ni jambo muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu, lakini sio jambo la lazima. Hivyo mtu ana hiari ya ama kuingia kwenye ndoa au la. Sasa inapotokea mtu akaamua kutumia uhiari wake kuamua, alafu wewe unasema ana walakini kwenye uanaume wake, jua ni wewe ndio una huo uwalakini.
Siwasupport wenye kampeni ya kataa ndoa, ila siwalaumu maana ni hiari yao. Huwezi jua walikumbwa na nini.
Tofautisha ndoa na mahusiano ya kimapenzi. Mtu anaweza kujihusisha na mapenzi bila kuwa kwenye ndoa.
YESU hakuoa ana sababu za hayo,wala hakuna sehemu alinukuliwa akiinanga ndoa.Acha kupotosha eti malezi ni mchakato unaoratibiwa na watu wenye jinsia mbili tofauti
Mungu aliwekwa ndoa lini kama huyo mtoto wa wake tu mwenyewe ( Yesu) hakuoa.
Malezi ya watoto ni suala mtambuka linahusu jamii nzima Kwa ujumla wake pamoja na serikali ndio maana kuna watoto yatima wamelelewa vizuri tu Kwenye vituo hivyo na wamekuwa watu wenye Maendeleo na kueleweka kulipo Waliolelewa Kwenye familia
Vijana hatukatai mwanamke, hatukatai pussy ila tunakataa ndoaMwaka huu mtanichukia sana, si wanaume wala wanawake. Sitajali maana lengo ni kujenga. Kidogo kidogo tutakaa sawa[emoji41][emoji41]
Mmezalisha na mnalea? Au mmezalisha na kubakia kujisifu tu kuwa mna watoto?Mkuu mbususu tunazila na tumezaa kitaa ila kuingia mikataba ya kinafiki na watu ndio watu hawataki
hii ni sawa na kusakama mashoga na kuacha mabasha.Vijana hatukatai mwanamke, hatukatai pussy ila tunakataa ndoa
Kama huwezi kuwajenga wanawake kuwa wake wema wa baadae sahau wanaume kuoa. Tutapiga mimba na kubakia kuhesabu tuu watoto huko nje.
Kataa ndoa wanahoja nzito, ukitaka kujua hoja zao wewe waangalie tuu wanawake vizuri utagundua kwanini vijana hawataki kuoa
mwanaume anayekimbia ndoa,ambayo jukumu kubwa ni utawala ambako kuna malezi huko ndani,atawezaje kulea akiwa mbali??😂😂Mmezalisha na mnalea? Au mmezalisha na kubakia kujisifu tu kuwa mna watoto?
Mkuu,YESU hakuoa ana sababu za hayo,wala hakuna sehemu alinukuliwa akiinanga ndoa.
yule hakuwa muumini wa mbususu wala mipini kama wengi wenu humu.
sasa wewe hutaki ndoa una sababu zipi??
Hakuna mtu mwenye hoja hata moja.mwanaume anayekimbia ndoa,ambayo jukumu kubwa ni utawala ambako kuna malezi huko ndani,atawezaje kulea akiwa mbali??😂😂
ndio maana tunasisitiza(kataa ndoa)ni kampeni ya wavulana ambao uhakika hata kwa baba zao hawajatoka.Mkuu,
Hakuna mtu aluyejibu swali langu mpaka sasa.
kama yupo baba mwenye mtoto wakike akiwa tayari kuona mtoto wake huyo anazalishwa na kutupwa kurudishiwa mzigo huo nyumbani ajitokeze hapa?
Hapa swali ni baba gani yupo tayari kuona mtoto wake wakike akifanyiwa jambo kama hilo bila kujalisha maamuzi ya mtoto atafanya nini.
Kama baba huyo yupo hapa ajitokeze.
Ndo hapo sasaVipi kama ashafanikiwa hayo yote.
Ndoa itakuwa na msaada Gani kwake zaidi ya stress
huwezi kuwa na chuki kwa jambo jema na lenye heri,changamoto zake zitakufanya uwe na wasi wasi nalo tu lakini sio chuki.Hakuna mtu mwenye hoja hata moja.
Kuna uzi mama samia akilalamika kwanini vijana hawaoi.
Wengi wanalalamika hali ya uchumi cheki ule uzi comment zake 98% ni uchumi.
sasa kama hawa wanaokataa ndoa sababu ya uchumi kwanini wasiweke time limit wao wanakataa ndoa kama statment yao ni mkataba wa DP WORLD ambao hauna kikoma cha muda.