Mkuu,
Hapana niliposema watoto wa mitaani husababishwa na ndoa tu.si kweli.
Nilikuwa najaribu kutafuta ratio tu.
sasa umeomyesha ujinga ambao sisi wanaume tunao hapo. Mtu yupo ndani ya ndoa na anaenda kuzaa nje ya ndoa kusababisha watoto ambao hawezi kuwalea.
sasa kama watu ambao wametengana kutoka katika ndoa husababisha watoto kuishia mitaani, huoni kwamba ustawi mzuri wa ndoa yaani mtu mume na mke kuwepo pamoja kutalipunguza hilo?
Embu twende hapa, wewe unasema kataa ndoa, umefikiria mtoto huyo atalelewa vipi ilihali takwimu zikionyesha wanaume ukimbia watoto?
Kataa ndoa, sawa embu fikiria mwanamke anayeolewa na mwanaume mwingine halafu mume yule hataki mtoto wa mwanamke yule na baba alishakimbia mtoto anakuwa katika hali gani?
sasa kama hizo ni outcome za ndoa, inaonyesha kwamba ndoa inapostawi ndio msingi bora wa taifa. Sababu pasipo ndoa kabla na baada huleta athari kwa watoto.
sasa kama ndoa ikivunjika husababisha watoto wa mitaani je mkiwa hampo pamoja prior to. Ndio hakuna madhara hasi?