Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Bado siamini kama ni nature ndo inafanya uwe na madem wengi, ni tamaa tu.Kutokana na tafiti za evolutionary biology, monogamy (kuwa na partner mmoja) sio natural construct (hatuja evolve hivyo/kuumbwa hivyo) kwa binadamu bali ni social construct (tumetengeneza tu wenyewe kama taratibu za kijamii). Na ukumbuke social constructs zinaweza kuvunjwa au kukataliwa au kubadilishwa kutegemeana na mtu mwenyewe au jamii lakini natural constructs haziwezi kuvunjwa. Kwa hivyo usishangae cheating isipoisha kwenye ndoa, na kwa maana hiyo Ile kauli ya "oa utulie na mtu mmoja" haina uhalisia kwasababu ni jaribio la kuvunja natural construct kitu ambacho hakiwezekani.
Ukiamua kua na mmoja unakua nae na hamna shida yoyote ila kwakua binadamu tunapenda vitu rahisi vyenye kuuridhisha mwili basi ndio maana tunaendekeza mno tamaa za kingono.