Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Kutokana na tafiti za evolutionary biology, monogamy (kuwa na partner mmoja) sio natural construct (hatuja evolve hivyo/kuumbwa hivyo) kwa binadamu bali ni social construct (tumetengeneza tu wenyewe kama taratibu za kijamii). Na ukumbuke social constructs zinaweza kuvunjwa au kukataliwa au kubadilishwa kutegemeana na mtu mwenyewe au jamii lakini natural constructs haziwezi kuvunjwa. Kwa hivyo usishangae cheating isipoisha kwenye ndoa, na kwa maana hiyo Ile kauli ya "oa utulie na mtu mmoja" haina uhalisia kwasababu ni jaribio la kuvunja natural construct kitu ambacho hakiwezekani.
Bado siamini kama ni nature ndo inafanya uwe na madem wengi, ni tamaa tu.

Ukiamua kua na mmoja unakua nae na hamna shida yoyote ila kwakua binadamu tunapenda vitu rahisi vyenye kuuridhisha mwili basi ndio maana tunaendekeza mno tamaa za kingono.
 
Mwendo wa kumwagia ndani na kulea katoto
Kununua, kuhudumia likiumbe kama ligonjwa ni Upumbavu
Kwahiyo katoto kako kanakuwa kama kakunguru vile Baba kule mama kule, na kenyewe kakisha kua kanaanza kataa ndoa ukoo wa panya tayari
 
Duu kwahiyo msosi unaokula wote unaenda kuupunguzia wapi? Au unafanya uharibifu tu na kuacha kama mnyama Samba?
Mkuu mashoga hao wasikuumize kichwa. Hawataki ndoa ili waendelee kufanya ufilauni wao
 
Nilivyofika hapa 👇👇 kwenye Uzi wako nimekuona na wewe ndio walewale wazee wa personal attack na nikaacha kusoma.

""kumekua na movement ya kijinga sana inayojulikana kama "Kataa Ndoa""

Heshimu mawazo ya watu, mambo ya kuitana mafala, wajinga na mengine kama hayo ni upuuzi na hasa Kwa mtu mzima.

Usiku mwema, ulale unono.

Siku ukiandika Uzi bila Tusi, maneno mabovu na personal attack basi nitashukuru ukini-tag huo Uzi.

#YNWA
 
Paul wa knye bible aliiweka ndoa kwenye option ya mwisho(kwa wasioweza kujicontrol ndio waoe) ...
Jesus hakuoa, na kwa wakristu tunaamini ndie mwanaume aliyetumwa na Mungu ili tutembee kwa kuyafwata yake(njia sahihi)...
Ila anajitokeza Mkude Mwakatumbura anataka kuaminisha kila asiyeoa hayuko timamu [emoji1]
 
Takwimu zilizosomwa na mh. Rais mama Samia Suluhu ni 65% ya vijana umri wa kuoa hawajaoa...(So, sidhani kama ni movement ya JF tu, ni wimbi la kitaifa)
Nadhani ndoa ilikua na lengo zuri sana(socially)...ila jamii inabairika kwa kasi na miongoni mwa vitu vinavyoachwa nyuma(obsolete) ni ndoa.
Imeachwa ibaki vilevile, na imekua ikizalisha victims wengi sana wa kukata tamaa, ukatili, unyanyasaji, mauaji na kutapeliwa mali.

Kujadili why(what is the root cause?) Nadhani ndio la msingi kuliko kushambuliana.
 
Haya Mambo ya NDOA ni mtambuka sana msichukulie poa ndugu zangu, Vijana wengi walio kwenye umri WA kuoa hawana ajira za kujimudu wao wenyewe, bado wazazi na wategemezi wengine, sasa kijana WA aina hiyo Leo unataka kumuongezea mwanamke MTU mzima alafu baadae watarajie mtoto, kwa kijana anayejitambua haya Mambo lazima yampasue kichwa na yanamchelewesha sana kuingia kwenye ndoa. Nafikiri tutumie muda mwingi kupigania ni namna gani wanaweza kujiimarisha kiuchumi ili kuweza kumuda majukumu ya ndoa na familia, hakuna kijana aliyekamilika akakataa NDOA.

Tusiache kuombea uchumi wa Vijana WA kiume maana vita yao ni kubwa sana.
Sahihi kbsa aisee
 
Nafarijika kuona mpka sasa dakika ya 20 ya mchezo kataa ndoa wanaongoza 3:0 kwa hoja zilizoshiba......
 
safi
Takwimu zilizosomwa na mh. Rais mama Samia Suluhu ni 65% ya vijana umri wa kuoa hawajaoa...(So, sidhani kama ni movement ya JF tu, ni wimbi la kitaifa)
Nadhani ndoa ilikua na lengo zuri sana(socially)...ila jamii inabairika kwa kasi na miongoni mwa vitu vinavyoachwa nyuma(obsolete) ni ndoa.
Imeachwa ibaki vilevile, na imekua ikizalisha victims wengi sana wa kukata tamaa, ukatili, unyanyasaji, mauaji na kutapeliwa mali.

Kujadili why(what is the root cause?) Nadhani ndio la msingi kuliko kushambuliana.
safi sana mkuu, umeongea fact, mtoa mada hapa ndipo kafeli, hana reason capacity thinking.
 
Back
Top Bottom