Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Hizi ni takwimu zikielezea kwanini wengi waliopo kwenye ndoa wanaongoza kuwa na HIV+

98% ya wanaume wanasema walikuwa na unprotected sex kutoka nje ya ndoa zao, na kuwaletea matatizo wenza wao.
 
huwezi kuwa na chuki kwa jambo jema na lenye heri,changamoto zake zitakufanya uwe na wasi wasi nalo tu lakini sio chuki.

wavulana wanakwambia kataa ndoa,na hawakupi sababu kwanini ukatae😂
Kuna mmoja anakuambia ndoa ni mkataba wa kitapeli lakini haonyeshi mkataba huo utapeli upo wapi ila yeye anasikia tu kwa watu ni mkataba wa kitapeli.
 
Kama huwezi kuwajenga wanawake kuwa wake wema wa baadae sahau wanaume kuoa. Tutapiga mimba na kubakia kuhesabu tuu watoto huko nje.
Mkuu Loading,

Wewe ndio unaendelea kujifunga.
Ni nani ulitaka amjenge mwanamke huyo kuwa mwema wakati wewe hutaki ndoa? Nani akulelee mtoto wako wakike?

Kwahyo unataka uzalishe halafu mama ndio alee ila wewe haikuhusu?

Wanaume huwa tunafikiria vipi.
 
Ndoa ni jambo la lazima tatizo hao wanawake wa kuoa wapo?? Unafunga ndoa katika mazingira ambayo prostitution/ukahaba ni kama imehalalishwa, mke anaolewa kutoa nuksi na fashion akitoka hapo anarudia kudanga kudai divorce na mgawanyo wa mali mahakamani, wanawake wenyewe ni dizaini ya kina Wema, Uwoya na Zaylissa ndiyo wamejaa sasa hivi kuachana nje nje
 
Sifikirii ndoa Kama ni jambo la kumlazimisha MTU kuingia au kutoingia ,maamuzi ya WATU na yaheshimiwe na WATU wore.
 
YESU hakuoa ana sababu za hayo,wala hakuna sehemu alinukuliwa akiinanga ndoa.
yule hakuwa muumini wa mbususu wala mipini kama wengi wenu humu.

sasa wewe hutaki ndoa una sababu zipi??
Mkuu nitake radhi hakuna sehemu yeyote ambapo nimeeleza kukataa ndoa .
Mimi napinga zana ya kulazimishana kwamba mtoto lažima apatikane Kwenye ndoa tu.
Pia zana ya kulazimishana kuoa kwamba eti mtu akifikia umri flani ni lažima aolewe au aoe.. Ndoa ni suala la hiari na makubaliano ya watu 2.
Sheria ya ndoa inatambua na imeweka only minimum age hakuna maximum age
 
Kupanga ni kuchagua
Akuna alie sawa na akuna anaye kosea kla mmoja anafanya kwa nafasi yake
Kuoa au kuolewa sio kwamba ni ujanja na wala sio ujinga il nimachaguzi ya maisha
 
Ndoa ni jambo la lazima tatizo hao wanawake wa kuoa wapo?? Unafunga ndoa katika mazingira ambayo prostitution/ukahaba ni kama imehalalishwa, mke anaolewa kutoa nuksi na fashion akitoka hapo anarudia kudanga kudai divorce na mgawanyo wa mali mahakamani, wanawake wenyewe ni dizaini ya kina Wema, Uwoya na Zaylissa nd
kila jambo lina vigezo na masharti.hata hao waoaji pia si kila mtu ana sifa za kuoa,wengine ndio kama hawa wa hii kampeni ya kataa ndoa,ipo siku ataoa kwa shinikizo la wazazi,kazi ama jamaa na marafiki halafu asiweze kabisa kutosha humo ndoani.

kati kati ya wimbi la wanawake makunguru bado wapo wenye malengo chanya,na uzuri wa ndoa utaonekania kwao.

hao makunguru bado hawawezi kufanya hitimisho la ndoa kuwa mbaya.
 
Ndoa ni jambo la lazima tatizo hao wanawake wa kuoa wapo?? Unafunga ndoa katika mazingira ambayo prostitution/ukahaba ni kama imehalalishwa, mke anaolewa kutoa nuksi na fashion akitoka hapo anarudia kudanga kudai divorce na mgawanyo wa mali mahakamani, wanawake wenyewe ni dizaini ya kina Wema, Uwoya na Zaylissa ndiyo wamejaa sasa hivi kuachana nje nje
Ndoa sio lazima
 
jamaa hajaingilia uamuzi wa mtu,anasemea kampeni ya kataa ndoa,ndio sababu hata ameainisha aina ya watu anaofikiri wako nyuma ya kampeni hiyo.

ukiamua kukandwa kisamvu ni uamuzi wako,shida ni pale unapotafuta kuungwa mkono ndipo upinzani na mashaka huibuka😂😂.

ndoa ni jambo jema na lenye kupendeza mbele ya jamii,kama yalivyo mengine kama kufanya kazi halali,kutopenda ugomvi,kusaidia watu wenye uhitaji,kujenga nyumba nzuri ya kuishi nk.ni ishara ya kupiga hatua ktk maisha.
kama una mahusiano mazuri au yasiyo na mawaa na bado unahubiri kataa ndoa,bado una tatizo pia😂😂.
Mkuu hebu ainisha hasara ambazo mtu anazipata endapo hasipooa.

Ningependa utoe mawazo bila kuwa biased
 
Nafikiri kwa maoni yangu, tungeelewa nini maana ya ndoa, maana unaweza kujikuta uko kwenye ndoa bila kujua kama uko kwenye ndoa.

Ndoa ni hiari kati ya mtu mwanaume na mtu mwanamke kuishi pamoja, ni hiari yako , hulazimishwi, na kuna ndoa nyingi, za dini, za kimila unaleta mwanamke una kaa nae baadae unatoa mahali au bila mahali, za serikali, zote ni ndoa .

Kwahiyo ni mume na mke wakikubaliana kwa hiari yao ndugu tuishi pamoja tayari hiyo ni ndoa, ndoa ni rahisi sana, ila matendo ndani ya ndoa ndio magumu, yanahitaji uvumilivu, kwa sabau ni hiari yenu hujalazimishwa mnaweza kutatua , hakuna kitu chochote duniani kisichokuwa na changamoto.

Hata usipokuwa kwenye ndoa bado changamoto za wewe na mpenzi wako ziko pale pale , na pengine ni maisha magumu na ghari zaidi kushinda watu walioko kwenye ndoa, piga mahesabu yako vizuri, Leo uko na dada huyu, kesho yule , gharama zako ni kubwa mno kuliko mtu alieamua kwa hiari kuoa , maana ukioa mnaweza shindia hata mrenda, sasa demu wa kuja na kwenda utampeleka out kula mihogo au mrenda?
 
Mkuu hebu ainisha hasara ambazo mtu anazipata endapo hasipooa.

Ningependa utoe mawazo bila kuwa biased
hasara kubwa kuliko zote unayopata kwa kukosa kuoa,ni watu kukosa imani na akili zako,kwamba huenda unakua mvi tu ila akili bado ni za vidudu,utadharaulika hata na watoto wa mtaani kwako kwamba hujitambui.
sijui utaweza vipi kulibeba hilo lisikuletee madhara no 2,ya kisaikolojia.
baada ya kushinda na hali ya kutojiamini inafatia hatua ya tatu 3,afya ya akili au stress.
hapo unachukia ndoa,unachukia wenye ndoa au wanaopendana na kuishia kuiponda kama wafanyavyo watoto wengine humu jukwaani.
 
Labda tungeelewana kidogo kwenye hili.

Matatizo yote yanayotokea kwenye ndoa kwani sababu Ni ndoa yenyewe Au mwenza wako aliyefunga nae ndoa. Ndoa inaweza isiwe na Shida lakini mke au mume ndo akawa na shida .
Me nafikiri Kataa ndoa hawakutakiwa kufanya kampeni ya kataa ndoa Bali hata wanepinga kuowa au kuolewa asiye na sifa ya kuwa kwenye ndoa.
Labda Tungesikia kutoka pande zote mbili.
Kwa nini mtu anakataa ndoa. Atoe sababu Za kueleweka zinazomfanya apinge ndoa.

Ukiona mtu anateseka kwenye ndoa huyo kakosea kuowa kwa sababu wapo wanaokula raha
 
hasara kubwa kuliko zote unayopata kwa kukosa kuoa,ni watu kukosa imani na akili zako,kwamba huenda unakua mvi tu ila akili bado ni za vidudu,utadharaulika hata na watoto wa mtaani kwako kwamba hujitambui.
sijui utaweza vipi kulibeba hilo lisikuletee madhara no 2,ya kisaikolojia.
baada ya kushinda na hali ya kutojiamini inafatia hatua ya tatu 3,afya ya akili au stress.
hapo unachukia ndoa,unachukia wenye ndoa au wanaopendana na kuishia kuiponda kama wafanyavyo watoto wengine humu jukwaani.
Mbona huna hoja
 
Mkuu hebu rudia Tena kusoma ulichoandika.

1. Unamaanisha jamii itakuona hujitambui kisa hujaoa??. Nilitoa mfano mwanzoni kuhusu masister na mapadri ambao hawaingii kwenye ndoa, vipi jamii inawaonaje?. Kama ndoa ni kipimo Cha utimamu wa akili na kujitambua, mbona pamekuwa na matukio mengi ya wanandoa kudhuriana

2. Kutojiamini? Umemaanisha nn mkuu? Kwamba watu hawaingii kwenye ndoa sababu wamekataliwa au ni vipi??

3. Stress zinatokana na nini ikiwa mtu ameamua kwa hiari yake kutoingia kwenye ndoa?. Nikuulize swali, kati ya waliooa na wasio oa ni kundi Gani lipo very stressed?
 
Mkuu Analyse,

Ningependa twende kwa takwimu sasa.
Embu tuletee takwimu za watoto waliolelewa ndani ya ndoa baba na mama pamoja wakaishia kuwa watoto wa mitaani? , halafu tuangalie takwimu za watoto ambao hawakuzaliwa ndani ya ndoa au wazazi walitengana.

Nataka tuangalie kwanini ndoa kuwepo ni muhimu, kwanini lipo ongezeko kubwa la watoto mitaani? Kwanini watoto wanaishiwa kubakwa kukosa uangalizi sababu wazazi hakuna mawasiliano?

Twende taratibu weka takwimu.
 
Sasa mkuu, umekuja na wazo la takwimu alafu unataka mimi ndio nilitekeleze? Sio kwamba wewe hayo maneno yako ndio yangeambata na takwimu??

Kingine mkuu jaribu kutokuwa biased unapojadili jambo lolote. Hivi aliyekwambia watoto wote wa mitaani wanatokana na watu ambao hawajaoa ni nani?.

Ngoja nikupe baadhi ya sababu kubwa za watoto wa mitaani:

1. Wanaume waliopo kwenye ndoa kuzaa nje ya ndoa zao, hivyo kushindwa kuwakubali hao watoto ili kuokoa ndoa zao.

2. Wanandoa kutalikiana hivyo kupelekea watoto kukosa usimamizi refer dessertation ya Shanny M Malinda yenye title inayosema ''ASSESSMENT OF DIVORCE ON CHILD DEVELOPMENT IN TANZANIA:A CASE STUDY OF KINONDONI MUNICIPALITY'' humu pia unaweza kuona kwamba familia (ndoa) yenye migogoro huwa inapelekea baadhi ya watoto kukosa malezi mazuri na hivyo kupelekea kuondoka nyumbani wakiwa na umri mdogo.

Alafu hapo juu kuna maneno yako nimeyabold, ningependa ujue kwamba kuna watoto wanazaliwa nje ya ndoa ila wanatokana na wahusika waliopo kwenye ndoa. Lakini pia kuna watoto wanaangukia mtaani baada ya wazazi wao ambao walikuwa kwenye ndoa kutengana. Makundi haya yote mawili ni matokeo ya ndoa.
 
Mkuu,
Hapana niliposema watoto wa mitaani husababishwa na ndoa tu.si kweli.
Nilikuwa najaribu kutafuta ratio tu.

sasa umeomyesha ujinga ambao sisi wanaume tunao hapo. Mtu yupo ndani ya ndoa na anaenda kuzaa nje ya ndoa kusababisha watoto ambao hawezi kuwalea.

sasa kama watu ambao wametengana kutoka katika ndoa husababisha watoto kuishia mitaani, huoni kwamba ustawi mzuri wa ndoa yaani mtu mume na mke kuwepo pamoja kutalipunguza hilo?

Embu twende hapa, wewe unasema kataa ndoa, umefikiria mtoto huyo atalelewa vipi ilihali takwimu zikionyesha wanaume ukimbia watoto?

Kataa ndoa, sawa embu fikiria mwanamke anayeolewa na mwanaume mwingine halafu mume yule hataki mtoto wa mwanamke yule na baba alishakimbia mtoto anakuwa katika hali gani?

sasa kama hizo ni outcome za ndoa, inaonyesha kwamba ndoa inapostawi ndio msingi bora wa taifa. Sababu pasipo ndoa kabla na baada huleta athari kwa watoto.

sasa kama ndoa ikivunjika husababisha watoto wa mitaani je mkiwa hampo pamoja prior to. Ndio hakuna madhara hasi?
 
Back
Top Bottom